Nina $ 23,000 ila sijui biashara gani inanifaa

Nina $ 23,000 ila sijui biashara gani inanifaa

Kikubwa ni kuwa na iman na mtu unaempa kazi,,hata mke nae anaweza kukuzingua..
Ukiona kila mtu anasisitiza ukae mwenyewe ujue kuna jambo no matter unampa nani akusimamie hio biashara. We've been there done that. Unless unafungua big company with proper management
 
Ni sawa ulichoongea ndio maana nimekupa like. Lakini milioni 20 kwa hardware ni ndogo sana mkuu
Mimi sikumaanisha kwamba mil 20 ndio itajaza hardware la hasha.
Ila nilichomaanisha atatanguliza kwa bidhaa za mil 20 halaf baada ya hapo atajifunza ni bidhaa gani zinahitajika kwa wingi sana na bidhaa gani zinauzika polepole.
Na baada ya hapo ataendelea kuuongeza mtaji wake kulingana na matakwa ya wateja.
 
Chukua 2milion kwenye hiyo 50m then bet kwa odds za 1.05 kwa siku mara moja kila siku utakuwa unaingiza 100,000. Odd ya 1.05 haina risk kubwa ya kupoteza
Wanajamii nimekuwa na wakati mgumu wa kuamua kufanya biashara gani itakayonifaa nitakapoamua kuacha kuangaika kwenye kazi za watu,

Nahisi pesa nilionayo($23,000=milioni 50 hivi za shilingi) inafaa kuwekeza ila nakuwa na wakati mgumu wa biashara hipi inafaa kulingana na pesa nilionayo au njia zipi nipitie ili niwe na mafanikio katika biashara yangu

Kwa mwenye kuwa na uelewa au uzoefu na maswala ya biashara na ushauri wa mambo haya anaweza kunishauri nipite njia zipi au nini nifanye kuwa bora katika biashara yangu ya aina yeyote ninayotaka kufanya

NINAWAKARIBISHA WAKUU.
 
Kama Mimi ningenunua IST kama 5 hivi natafuta Madereva then nawapa deal

Zinarudisha 170,000-200,000 kwa Wiki moja so Gari zikiwa used from Japan nina Uhakika matengenezo yanakuaga si sanaa kwa kipindi cha Miaka 2

170,000 * 5 = 850,000
200,000*5 = 1,000,000
850,000 *52= 44,200,000
1,000,000*52= 52,000,000

So itachukua Mwaka 1 kuweza kurudisha pesa yako then unaanza kula Faida baada ya mwaka 1

NB kwa Dar es Salaam risk ya gari kupiga mzinga ni ndogo sana kutokana na Magari jiji kuwa na Gari nyingi

Hahahaa haipo hyo hesabu mzee
 
Ulichoongea ni kweli kwamba kila biashara Ina risks zake,lkn risks zake zinatofautiana.
Lakini lazima utakubaliana na mm kwamba Kuna biashara risks zake ni kubwa kuliko nyingine.
Kwa mfano risks ya biashara ya kusafirisha nyanya ni kubwa kuliko biashara ya kuuza matofali.
Na biashara ya kuuza chakula Ina risks kubwa kuliko biashara ya kuuza mkaa.
Kwa hyo ni wajibu wake mfanyabiashara kuangalia ni biashara ipi ambayo Ina kiwango kidogo Cha risks.
Huwezi kufanya biashara ya kusafirisha ndizi kutoka morogoro na kupeleka Moshi eti tu kwa sababu kila biashara Ina risks.
Ni lazima utumie common sense ili kukwepa hasara isiyo ya lazima.
Na jambo la kusitajabisha ni kwamba ze lower the risk the lower the return and vice verse is true. Usifikiri umefungua duka la kuuza vitu vya hardware within one year or two utakuwa umetajirika mkuu. Biashara za lowest risk zinanebwa na mzunguko mkubwa mkuu na kwa bahati mbaya biashara zinazotegemea mzunguko wa sasa nyingi bongo zinasumbua kutokana na mdololo wa mzunguko wa pesa
 
Nmejipanga sana mkuu hasa katika biashra ninayotaka kufanya na teqm nitakayofanya nayo,,,nataka niiingie kwenye ulingo nimekamlka na zana za kutosha kuanzia mmi na team yngu iwe tayar kwa kusongesha gurudumu mbele
Hahahahaha. Utaleta mrejesho mkuu. Usianze story or Mara rafiki zangu au ndugu yangu kaniangusha. Nimejionea mengi. Success of any business is accompanied by great people. All the best.

Umewahi run business yeyote??. Maana maneno yako Nina team nimejimpanga ni maneno ya wastafu wengi. Unaweza sema umepiga hatua ya kwanza kubwa ya kusave hongera, hatua ya pili ni kujifunza how to invest and then how to control or guard your business.
Karibu kwenye urimwengu wa investment or business only strong man can survive.
 
Hahahaa haipo hyo hesabu mzee
Kweli mkuu hesabu za assumption huwa zinapoteza sana.Kuna mtu humu JF nimeona anatangaza gari yake ya Uber inahitaji dereva na hesabu ni 170000 kwa wiki na hapati mtu anahangaika.
Na Kuna wengine wamelalamika hawaletewi hesabu na Kuna wengine wakatoa ushuhuda kwamba walisusa hyo biashara wakauza magari yao kutokana na kero walizopata.
Halaf jamaa anarahisisha tu kutupigia hesabu hadi ya mwaka.
 
Na jambo la kusitajabisha ni kwamba ze lower the risk the lower the return and vice verse is true. Usifikiri umefungua duka la kuuza vitu vya hardware within one year or two utakuwa umetajirika mkuu. Biashara za lowest risk zinanebwa na mzunguko mkubwa mkuu na kwa bahati mbaya biashara zinazotegemea mzunguko wa sasa nyingi bongo zinasumbua kutokana na mdololo wa mzunguko wa pesa
Kwa maana hiyo, kwa kipindi hiki kigumu ni biashara zinazotegemea mzunguko upi ndio zinaweza zikamtoa mtu kimasomaso?
 
Kweli mkuu hesabu za assumption huwa zinapoteza sana.Kuna mtu humu JF nimeona anatangaza gari yake ya Uber inahitaji dereva na hesabu ni 170000 kwa wiki na hapati mtu anahangaika.
Na Kuna wengine wamelalamika hawaletewi hesabu na Kuna wengine wakatoa ushuhuda kwamba walisusa hyo biashara wakauza magari yao kutokana na kero walizopata.
Halaf jamaa anarahisisha tu kutupigia hesabu hadi ya mwaka.

Kuna mshikaji humu aliuza baada ya mwez na nusu...tena dreva mwingine alirudisha gar kwa boss ...chezea ww
 
Hapo bado haijapata ajali za hapa na pale

Back
Top Bottom