Ukiona kila mtu anasisitiza ukae mwenyewe ujue kuna jambo no matter unampa nani akusimamie hio biashara. We've been there done that. Unless unafungua big company with proper managementKikubwa ni kuwa na iman na mtu unaempa kazi,,hata mke nae anaweza kukuzingua..
Mimi sikumaanisha kwamba mil 20 ndio itajaza hardware la hasha.Ni sawa ulichoongea ndio maana nimekupa like. Lakini milioni 20 kwa hardware ni ndogo sana mkuu
Wanajamii nimekuwa na wakati mgumu wa kuamua kufanya biashara gani itakayonifaa nitakapoamua kuacha kuangaika kwenye kazi za watu,
Nahisi pesa nilionayo($23,000=milioni 50 hivi za shilingi) inafaa kuwekeza ila nakuwa na wakati mgumu wa biashara hipi inafaa kulingana na pesa nilionayo au njia zipi nipitie ili niwe na mafanikio katika biashara yangu
Kwa mwenye kuwa na uelewa au uzoefu na maswala ya biashara na ushauri wa mambo haya anaweza kunishauri nipite njia zipi au nini nifanye kuwa bora katika biashara yangu ya aina yeyote ninayotaka kufanya
NINAWAKARIBISHA WAKUU.
Mkuu! Wewe nikupe details zote, uzuri siku hizi mtu kukukimbia ni ngumu sanaKukopesha ni swala la mkataba mimi na weew bahat mbaya niko njee kidogo
Unatoa gari kwa kila Mtu? Mi natoa Gari kwa mtu mwenye Familia ambaye hata kwa muonekano awe decent
Kama Mimi ningenunua IST kama 5 hivi natafuta Madereva then nawapa deal
Zinarudisha 170,000-200,000 kwa Wiki moja so Gari zikiwa used from Japan nina Uhakika matengenezo yanakuaga si sanaa kwa kipindi cha Miaka 2
170,000 * 5 = 850,000
200,000*5 = 1,000,000
850,000 *52= 44,200,000
1,000,000*52= 52,000,000
So itachukua Mwaka 1 kuweza kurudisha pesa yako then unaanza kula Faida baada ya mwaka 1
NB kwa Dar es Salaam risk ya gari kupiga mzinga ni ndogo sana kutokana na Magari jiji kuwa na Gari nyingi
Na jambo la kusitajabisha ni kwamba ze lower the risk the lower the return and vice verse is true. Usifikiri umefungua duka la kuuza vitu vya hardware within one year or two utakuwa umetajirika mkuu. Biashara za lowest risk zinanebwa na mzunguko mkubwa mkuu na kwa bahati mbaya biashara zinazotegemea mzunguko wa sasa nyingi bongo zinasumbua kutokana na mdololo wa mzunguko wa pesaUlichoongea ni kweli kwamba kila biashara Ina risks zake,lkn risks zake zinatofautiana.
Lakini lazima utakubaliana na mm kwamba Kuna biashara risks zake ni kubwa kuliko nyingine.
Kwa mfano risks ya biashara ya kusafirisha nyanya ni kubwa kuliko biashara ya kuuza matofali.
Na biashara ya kuuza chakula Ina risks kubwa kuliko biashara ya kuuza mkaa.
Kwa hyo ni wajibu wake mfanyabiashara kuangalia ni biashara ipi ambayo Ina kiwango kidogo Cha risks.
Huwezi kufanya biashara ya kusafirisha ndizi kutoka morogoro na kupeleka Moshi eti tu kwa sababu kila biashara Ina risks.
Ni lazima utumie common sense ili kukwepa hasara isiyo ya lazima.
Mtaji wake ni kiasi gani ?Hizo bidhaa anapata bure nn? Unaongea Manganese, copper kama unafikiri mtajiwake ni wakitoto.
USIje thubutu kufanya hiyo biashara sijui tax sijui uber...usijarib
Hahahahaha. Utaleta mrejesho mkuu. Usianze story or Mara rafiki zangu au ndugu yangu kaniangusha. Nimejionea mengi. Success of any business is accompanied by great people. All the best.Nmejipanga sana mkuu hasa katika biashra ninayotaka kufanya na teqm nitakayofanya nayo,,,nataka niiingie kwenye ulingo nimekamlka na zana za kutosha kuanzia mmi na team yngu iwe tayar kwa kusongesha gurudumu mbele
Kweli mkuu hesabu za assumption huwa zinapoteza sana.Kuna mtu humu JF nimeona anatangaza gari yake ya Uber inahitaji dereva na hesabu ni 170000 kwa wiki na hapati mtu anahangaika.Hahahaa haipo hyo hesabu mzee
Kwa maana hiyo, kwa kipindi hiki kigumu ni biashara zinazotegemea mzunguko upi ndio zinaweza zikamtoa mtu kimasomaso?Na jambo la kusitajabisha ni kwamba ze lower the risk the lower the return and vice verse is true. Usifikiri umefungua duka la kuuza vitu vya hardware within one year or two utakuwa umetajirika mkuu. Biashara za lowest risk zinanebwa na mzunguko mkubwa mkuu na kwa bahati mbaya biashara zinazotegemea mzunguko wa sasa nyingi bongo zinasumbua kutokana na mdololo wa mzunguko wa pesa
Kweli mkuu hesabu za assumption huwa zinapoteza sana.Kuna mtu humu JF nimeona anatangaza gari yake ya Uber inahitaji dereva na hesabu ni 170000 kwa wiki na hapati mtu anahangaika.
Na Kuna wengine wamelalamika hawaletewi hesabu na Kuna wengine wakatoa ushuhuda kwamba walisusa hyo biashara wakauza magari yao kutokana na kero walizopata.
Halaf jamaa anarahisisha tu kutupigia hesabu hadi ya mwaka.
Biashara yenye risk kubwa ndlo inakutoa vyema...itakulipa hata mara 5Kwa maana hiyo, kwa kipindi hiki kigumu ni biashara zinazotegemea mzunguko upi ndio zinaweza zikamtoa mtu kimasomaso?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna mshikaji humu aliuza baada ya mwez na nusu...tena dreva mwingine alirudisha gar kwa boss ...chezea ww
Kama ipi mkuu. Mfano tafadhariBiashara yenye risk kubwa ndlo inakutoa vyema...itakulipa hata mara 5
Kweli mkuu hesabu za assumption huwa zinapoteza sana.Kuna mtu humu JF nimeona anatangaza gari yake ya Uber inahitaji dereva na hesabu ni 170000 kwa wiki na hapati mtu anahangaika.
Na Kuna wengine wamelalamika hawaletewi hesabu na Kuna wengine wakatoa ushuhuda kwamba walisusa hyo biashara wakauza magari yao kutokana na kero walizopata.
Halaf jamaa anarahisisha tu kutupigia hesabu hadi ya mwaka.