Nina 250,000/= unanipa TV aina gani?

Nina 250,000/= unanipa TV aina gani?

selemangrace346

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
463
Reaction score
634
Wadau kama Uzi unavojieleza,nina hitaji TV ,je kwa offer hiyo unanipa tV aina ipi na inchi ngapi?
 
Hakuna TV ya hiyo bei, hapo unajitafutia matatizo ya macho
 
Back
Top Bottom