Nina 4 ya 27 nisaidieni mawazo

Nelson noah

Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
10
Reaction score
0
Nilikuwa nina mpango wa kurirt,kwenda vyuo vya ufundi,jeshi na upolic kipi kinafaa kwenda pia nitashukuru mkiniambia vitu vingine vya kusomea.
 
Nilikuwa nina mpango wa kurirt,kwenda vyuo vya ufundi,jeshi na upolic kipi kinafaa kwenda pia nitashukuru mkiniambia vitu vingine vya kusomea.
Usiogope mtafute Nape Nnauye mpaka PHD utapata, yeye form alipata division four point 29 na sasa ana Maters ya Mzumbe.
 
Kwa matokeo ya mwaka huu yalivyo, inawezekana ukaenda A- Level, BUT ualimu ni wa kufikia tu!!!!
 
Kaka mi nilipiga hiyo namba kama utaweza mzunguka pitia njia ya ualimu utafika au kama home mambo yanaruhusu ingia chuo ata CBE pale sio mbaya!
 
Nilikuwa nina mpango wa kurirt,kwenda vyuo vya ufundi,jeshi na upolic kipi kinafaa kwenda pia nitashukuru mkiniambia vitu vingine vya kusomea.

skiliza ndugu ualimu n kupoteza muda 2 kama unajiweza soma chuo chochote upate cheti then apply dip au open university soma huku unapiga kazi achana na kurisit ni kupoteza muda
 
Nilikuwa nina mpango wa kurirt,kwenda vyuo vya ufundi,jeshi na upolic kipi kinafaa kwenda pia nitashukuru mkiniambia vitu vingine vya kusomea.

apo kwenye red ndio nini hiyo,alafu jinsia ujataja,jibu kwanza hayo
 
Subiri tume ya PM ikamilishe uchunguzi unaweza kukuta unaenda A~ level hivyo hivyo.
 
jipange upya urudie mtihani shortcuts hazitakusaidia.
 
Kukushauri kwanza inategemea kujua malengo yako ya awali na uwezo wako kifedha. Kama fedha unayo ya kujilipia form V private, na UNAAMINI ukirudia utapata C tatu, nakubaliana na kimeloki, achana na shortcuts, rudia mtihani. Kama pesa ni shida, nenda ualimu miaka 2, ukimaliza unapata mishahara unaanza kurekebisha mambo yako, au Polisi, JKT. Kama pesa ipo ila uwezekano wa kupata credit 3 ukirudia unaona ni mdogo au hakuna, basi tumia njia aliokupa Loka G Laizer.
 
ina maana kumbe ualimu wanachukua waliofeli? halafu wanakuja kufundisha wanafunzi ili wapate division one? hili ni tatizo sana, naona wengi wanamshauri aende ualimu ilingali ana div four navyojua government inachukua div three au mambo yalibadilika? maana serikali ya jk haitabiriki,
 
Una C ngapi? Na ni za masomo gani? Jibu kwanza ndio upewe ushauri....
 
skiliza ndugu ualimu n kupoteza muda 2 kama unajiweza soma chuo chochote upate cheti then apply dip au open university soma huku unapiga kazi achana na kurisit ni kupoteza muda
ualimu ni kupoteza muda!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…