Nelson noah
Member
- Feb 8, 2013
- 10
- 0
Nilikuwa nina mpango wa kurirt,kwenda vyuo vya ufundi,jeshi na upolic kipi kinafaa kwenda pia nitashukuru mkiniambia vitu vingine vya kusomea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiogope mtafute Nape Nnauye mpaka PHD utapata, yeye form alipata division four point 29 na sasa ana Maters ya Mzumbe.Nilikuwa nina mpango wa kurirt,kwenda vyuo vya ufundi,jeshi na upolic kipi kinafaa kwenda pia nitashukuru mkiniambia vitu vingine vya kusomea.
Nilikuwa nina mpango wa kurirt,kwenda vyuo vya ufundi,jeshi na upolic kipi kinafaa kwenda pia nitashukuru mkiniambia vitu vingine vya kusomea.
Nilikuwa nina mpango wa kurirt,kwenda vyuo vya ufundi,jeshi na upolic kipi kinafaa kwenda pia nitashukuru mkiniambia vitu vingine vya kusomea.
khaa!!hao watoto wetu na div 4 ya 27!labda akasome mambo ya misitu!Nenda ualimu.
ualimu ni kupoteza muda!!!!skiliza ndugu ualimu n kupoteza muda 2 kama unajiweza soma chuo chochote upate cheti then apply dip au open university soma huku unapiga kazi achana na kurisit ni kupoteza muda