Nina 50,000sh. nifanya biashara gani?

Fanya hivi kopesha kwa mtu afu akulipe 70 alafu endelea hivo hivi kukopesha ndo kuna kuza mtaji NB kopesha kwa dhamana ya kitu chenye zaidi ya thamani ya hela
 


Huu ushauri hauna mashiko
 
haaaaaaaaaaaaaa????????
 
Mkuu njoo tubeti nakuhakikishia utapiga pesa ndefu kwa muda mfupi
 
Tengeneza kipato cha Ziada Kwa kupata kitabu maalumu kitakacho kufanya ujue kutengeneza bidhaa mbali mbali muhimu za viwamdani nyumbani kwako na uweze kujiajiri. Kitabu hicho utakipata Kwa bei ya TSh.5,000 tu! Katika email au whatsup yako. Whatsup au nipigie 0762208190 AU 0718978295. Utachagua unacho taka kujiajiri kitaalam kupitia kitabu hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…