Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,348
- 3,305
Hapo ni betting mkuu ndo inatosha kwa hiyo ela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukitaka upande haraka ni mwendo wa UNGA tu tena na ulivyoadimika hivi lazima upige mtonyo wa maana mkuu cha msingi ujasiri tu halafu uelewane na konda ili usafirishe vizur.wakuu haber zenu.
apa nilipo nina sh. 50,000 sasa nataka kuzalisha nipate pesa ya kuishi ...naombeni wazo la biashara..nifanye biashara gani ili niwezi kufanikiwa? kwa sasa nina ishi mbeya naombeni msaada wakuu
Vocha zita mlaza njaaKwani biashara ya vocha umeshajaribu mkuu..?
Lima mchichaUza karanga zinalipa.
Ila pia unaweza lima bange
usijaribu ku-bet hiyo hela yako italiwa yote[emoji3]Vipi kuhusu kuiwekeza kwa muhindi aka kubeti timu kubwa zenye uhakika wa kushinda
Vocha faida yake ndogo sana ni sh.20 kwa hamsini,biashara kichaa sikushauri.Vocha zita mlaza njaa