Nina 800k tu nifanye biashara gani ili izalishe? Niko DSM

Penguinelli Cactussini

Senior Member
Joined
May 23, 2022
Posts
106
Reaction score
383
Wakuu,

Nimetunza hadi nimefikisha laki 800,000/= hadi sasa na bado najiuliza nifanye biashara gani kulingana na kipato nilicho nacho.

Kazi niliyonayo iliyonipa hiyo 800k bado niko nayo na nataka niingie kwa biashara sasa.
 
Hongera sana mkuu kwa kufikisha hiyo 800k. Ushauri wangu, kwa kuwa bado una kazi, usikimbilie kuacha kazi au kuingiza mtaji wote kwenye biashara moja.

Chagua biashara yenye mzunguko wa haraka wa pesa na uanze kwa kuijaribu kulingana na eneo ulilopo, ushindani na mahitaji ya wateja. Muhimu zaidi, usichague biashara kwa sababu tu inaonekana inalipa; chagua ambayo unaweza kuisimamia na kuielewa.

Pia, usitumie 800k yote kuanzia siku ya kwanza. Tenga akiba ya dharura, kisha anza na sehemu ya mtaji na upime matokeo kabla ya kuongeza.

Swali moja muhimu mkuu: Upo eneo gani la Dar es Salaam, na unataka biashara ya muda wa ziada ukiendelea na kazi au unaweza kuisimamia kila siku? Hapo ndipo tunaweza kukushauri biashara yenye nafasi nzuri ya kukua badala ya kukisia. 🤝
 
Jifunze facebook ads anza kula pesa

Mentors ni wengi sana
 
toa laki 1 peleka sehemu kama sadaka weka nia alafu njoo kwnye wazo lako la biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…