Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 442
- 1,655
Msuli wa SUA umekuzeeshaUjue mpaka sasa sielewi inakuaje
Hapa nilipo mi nikijana mdogo mdogo wa miaka 35, maskini tu japo nina degree ya wanyamapori kutoka SUA.
Huku mtaani ninakoishi jijini Mwanza jamanii eeeh naamkiwa na mabinti hadi kero, sijui hawa mabinti lengo lao kuninyima nini. Huwa najiuliza hizi mvi kwenye ndevu ndo tatizo la mimi kuonekana mzee!! Au shida ni nini!
Wewe kijana mdogo? Bado miaka 10 ufike 45 ukose vigezo vya kupata ajira serikalini.
Ni umri ambao unatakiwa uwe na mchumba au mke, uwe na kazi ya kukuingizia kipato na ikiwezekana uwe na kiwanja ama asset ya aina yeyote maana mwanaume maisha yanaanza ukiwa na miaka 40
ChaiUjue mpaka sasa sielewi inakuaje
Hapa nilipo mi nikijana mdogo mdogo wa miaka 35, maskini tu japo nina degree ya wanyamapori kutoka SUA.
Huku mtaani ninakoishi jijini Mwanza jamanii eeeh naamkiwa na mabinti hadi kero, sijui hawa mabinti lengo lao kuninyima nini. Huwa najiuliza hizi mvi kwenye ndevu ndo tatizo la mimi kuonekana mzee!! Au shida ni nini!
Mwenzio mtu asiponiamkia najiskia vibaya saizi napenda ila Kuna kipindi nilikuwa napata shida kama.wewe baadae nikajua ahaa ni personality ndio inanipa heshimaUjue mpaka sasa sielewi inakuaje
Hapa nilipo mi nikijana mdogo mdogo wa miaka 35, maskini tu japo nina degree ya wanyamapori kutoka SUA.
Huku mtaani ninakoishi jijini Mwanza jamanii eeeh naamkiwa na mabinti hadi kero, sijui hawa mabinti lengo lao kuninyima nini. Huwa najiuliza hizi mvi kwenye ndevu ndo tatizo la mimi kuonekana mzee!! Au shida ni nini!
Sure.ukiwa mchafumchafu hakuna mtu atakupa shikamooMwenzio mtu asiponiamkia najiskia vibaya saizi napenda ila Kuna kipindi nilikuwa napata shida kama.wewe baadae nikajua ahaa ni personality ndio inanipa heshima
Below 40 ni kimasihara??Wewe kijana mdogo? Bado miaka 10 ufike 45 ukose vigezo vya kupata ajira serikalini.