Nina amkiwa sana. Hivi ndiyo nishakua mhenga hivi au ndo wameona sina hela?

35 sio kijana mdogo

Lakini hizo anatakiwa hivi,anatakiwa vile sio kweli...pesa inatafutwa,kwenye kutafuta hakuna specific age ya kutakiwa kuwa umepata
Ndivyo msemavyo wanawake
 
Una miaka 35 siyo?Okay.Watakuwa wanaiamkia degree yako tu.Tuliza boli uskonde.Ukishtuka utakuwa huna meno tayari.Yaani kibogoyo unabugia ugoro tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…