Kila nikipanda daladala
kuelekea kwenye nguvu kwa nguvu
yaan kaz za ujenz au misele
sipat bahati ya kukaa siti moja na
warembo. siku zote naokaa nao wanakua wazee au wahuni. mabint hupita siti yangu kama vile hawaioni. na hata akija binti mrembo kukaa ambayo ni nadra sana hata nikimsalimia hajibu ila wazee au wahun wananianza wenyewe stori.
je, ni kwann mbona mm ni handsam tu. je nifanyaje ili warembo wawe wanakuja kukaa siti niliyopo?
ushaurini wenu wataaram.
Babu Njunju (mzee wa kunjujumila)