Kwa Sasa Unajiita Mzee wa kunjunjua lakini fainali ni uzeeni. Nina uhakika kwa Kazi zako za ujenzi una uwezo wa kuweka akiba ya elfu 30 kila mwezi ambayo baada ya miaka mwili ungepata mtaji wa biashara ya mitumba. Lakini kwa sababu umechagua kuwa Mzee wa kunjunjua, maisha Ni yako, all the best.Babu Njunju (mzee wa kunjujumila)
Kwamba ananuka kwapa auππππππ€Tumia deoderant mzee wa kazi.
π mi kibarua msafiTumia deoderant mzee wa kazi.
dunian tunapita nna nyumba meru ya urith mkuuKwa Sasa Unajiita Mzee wa kunjunjua lakini fainali ni uzeeni. Nina uhakika kwa Kazi zako za ujenzi una uwezo wa kuweka akiba ya elfu 30 kila mwezi ambayo baada ya miaka mwili ungepata mtaji wa biashara ya mitumba. Lakini kwa sababu umechagua kuwa Mzee wa kunjunjua, maisha Ni yako, all the best.
unaweza nuka na hujui, ishanitokeaπKwamba ananuka kwapa auππππππ€
Ushauri wa BUREdunian tunapita nna nyumba meru ya urith mkuu
ππππ kwahiyo sikuizi umenunua deodorantunaweza nuka na hujui, ishanitokeaπ
Nunua gari, utampakia yeyote umtakaye mkuu.Kila nikipanda daladala
kuelekea kwenye nguvu kwa nguvu
yaan kaz za ujenz au misele
sipat bahati ya kukaa siti moja na
warembo. siku zote naokaa nao wanakua wazee au wahuni. mabint hupita siti yangu kama vile hawaioni. na hata akija binti mrembo kukaa ambayo ni nadra sana hata nikimsalimia hajibu ila wazee au wahun wananianza wenyewe stori.
je, ni kwann mbona mm ni handsam tu. je nifanyaje ili warembo wawe wanakuja kukaa siti niliyopo?
ushaurini wenu wataaram.
Babu Njunju (mzee wa kunjujumila)
kabisaπππππ kwahiyo sikuizi umenunua deodorant
Vizurikabisaπ
tumia deoderant nyoa kwapa hiloπ mi kibarua msafi
Tafuta hela nunua gari lako alafu wape lift au sajiri uber! Dawa ya moto ni motoKila nikipanda daladala
kuelekea kwenye nguvu kwa nguvu
yaan kaz za ujenz au misele
sipat bahati ya kukaa siti moja na
warembo. siku zote naokaa nao wanakua wazee au wahuni. mabint hupita siti yangu kama vile hawaioni. na hata akija binti mrembo kukaa ambayo ni nadra sana hata nikimsalimia hajibu ila wazee au wahun wananianza wenyewe stori.
je, ni kwann mbona mm ni handsam tu. je nifanyaje ili warembo wawe wanakuja kukaa siti niliyopo?
ushaurini wenu wataaram.
Babu Njunju (mzee wa kunjujumila)
π mkuu isijekuwa unanuka cement kwahiyo wanakupita tu.π mi kibarua msafi