Jina lako na Avatar yako vinaleta ukakasi sana..... ila pole.
Lol.
Kuna manzi wangu humu jaman eti kanimwaga kisa avatar hizi du! Lol!
Hope wenye mamlaka watakusaidia.Umefika unani help vipi
Bas utampata wa size yako wa kaliba yako, either machepere, hit and run, gold diggers,,na waliotulia na decent wako so the choice is yours bwana mzeeAsante mkuu ila natafuta
Mkuu umevurugwa wapi hii chitchatyani dah......mnaishusha thamani ya JF kwa nguvu.....na MODS wasipoangalia vizuri akitokea mwanaIT mwingine huko akatengeneza FORUM mm ntakuwa wa kwanza kuhamia kwenda huko...co kwa upuuzi huu anaouweka huyu jamaa.....
haijalishi pia chamsingi uwache mambo ya kike.....coz kwaharaka haraka 2 hata kama ni chit chat m2 anaweza hata kuanza KUKUTONGOZA kumbe ni DUMEMkuu umevurugwa wapi hii chitchat