Nina bahati mbaya na wanawake wa JF

Nina bahati mbaya na wanawake wa JF

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Kuna manzi wangu humu jaman eti kanimwaga kisa avatar hizi du! Lol!

Nimembembeleza wapi hanielewi tena kachukua man mwingine humu humu!

Nasikitika yani manzi mtamu ana kisima cha ubatizo cha maji moto!sasa imekula kwangu!

Tena kuna wambea humu wanampamba tena wengine men walah!
Huyu Wa pili jamani mkosi gani huu
Bro mshana Jr nipe tunguli bhasi!

Kipusa chochote karibu uwe sabuni ya moyo na roho yangu!.
 
Kuna manzi wangu humu jaman eti kanimwaga kisa avatar hizi du! Lol!
428990.jpg
 
hivi ile username yako ya kwanza ulikuwa unaitwa nani vile??
 
yani dah......mnaishusha thamani ya JF kwa nguvu.....na MODS wasipoangalia vizuri akitokea mwanaIT mwingine huko akatengeneza FORUM mm ntakuwa wa kwanza kuhamia kwenda huko...co kwa upuuzi huu anaouweka huyu jamaa.....
 
Mkuu umevurugwa wapi hii chitchat
 
Back
Top Bottom