lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,920
- 3,388
wacha kusagana...kaa utulie uolewe.Kuna manzi wangu humu jaman eti kanimwaga kisa avatar hizi du! Lol!
Nimembembeleza wapi hanielewi tena kachukua man mwingine humu humu!
Nasikitika yani manzi mtamu ana kisima cha ubatizo cha maji moto!sasa imekula kwangu!
Tena kuna wambea humu wanampamba tena wengine men walah!
Huyu Wa pili jamani mkosi gani huu
Bro mshana Jr nipe tunguli bhasi!
Kipusa chochote karibu uwe sabuni ya moyo na roho yangu!.
Sasa wengine wameweka za kiume ila hawana marindaUlipoweka mara ya kwanza tulijaribu kukuelewa lakini naona umerudia kwa mara nyingine tena,
Sasa hapo unategemea nini? Unacholalamika kuachwa ni nin? Demu wako atongozwe na wewe utongozwe,
Unachokitafuta utakipata!
Una vagina?Sasa wewe ni ke
Kwahiyo unataka kujustify kwamba hilo unalolifanya ni sawa?Sasa wengine wameweka za kiume ila hawana marinda
Ila kiuhaisia haisound well s ndio? Na why uchague that way? Au ndio uhuru zaidi?Wengine ni wanaweka avatar za kiume ila mashoga
Don't judge a book by it's cover
Jibu swali una vagina?We kenge mbona wewe umeweka ya kike
Ntajuaje sasa Mkuu?Unajua kwanini naweka!?
Hakuna sababu yyte ya msingi inayokufanya ufanye hivyo, we kuna unachokitafuta na utakipata!Ndo ufunge domo!