lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,920
- 3,388
wacha kusagana...kaa utulie uolewe.Kuna manzi wangu humu jaman eti kanimwaga kisa avatar hizi du! Lol!
Nimembembeleza wapi hanielewi tena kachukua man mwingine humu humu!
Nasikitika yani manzi mtamu ana kisima cha ubatizo cha maji moto!sasa imekula kwangu!
Tena kuna wambea humu wanampamba tena wengine men walah!
Huyu Wa pili jamani mkosi gani huu
Bro mshana Jr nipe tunguli bhasi!
Kipusa chochote karibu uwe sabuni ya moyo na roho yangu!.