Mhh sawa piaKama nina sababu personal!?
Mhhh hii baby imekujaje?Asante baby
Hapo ndio tulikua wengi tunapasubiri,Kama nina sababu personal!?
Lol, natamani kusema neno hapa ila nitaitwa Mchochezi.Mhhh hii baby imekujaje?
Sema tu linaweza kua msaada kwa namna moja au nyengineLol, natamani kusema neno hapa ila nitaitwa Mchochezi.
Heeeeeeh!! umefanya "mfyuuu!"Ifike mahali tukubali kutofautiana hivi unaamini wote walioweka avatar za kiume ni wanaume!? Mfyuuu!
Mwanaume anasema mfyuuuu!!Ifike mahali tukubali kutofautiana hivi unaamini wote walioweka avatar za kiume ni wanaume!? Mfyuuu!
Una bwana!!Heeeeeeh!! umefanya "mfyuuu!"
Hahahaha nimekushindwa teh teh teh nimeku imagine mdomo ulivyouweka wakati unaitoa hiyo 'Mfyuuu' huku unatingisha mguu mmoja na vidole vya mwisho umevisimamisha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lol....Una bwana!!
Kama unaye hafanyi Kazi yake ipasavyo[emoji57] [emoji57]
vp TV imeharibika sikuizMuosha rungu