Nina bahati mbaya na wanawake wa JF

Nina bahati mbaya na wanawake wa JF

Hapo ndio tulikua wengi tunapasubiri,

Kuweka avatars za kike UNA SABABU ZAKO PERSONAL, lol.... basi sawaaaaaaa.

Good Luck.
Ifike mahali tukubali kutofautiana hivi unaamini wote walioweka avatar za kiume ni wanaume!? Mfyuuu!
 
Ifike mahali tukubali kutofautiana hivi unaamini wote walioweka avatar za kiume ni wanaume!? Mfyuuu!
Heeeeeeh!! umefanya "mfyuuu!"
Hahahaha nimekushindwa teh teh teh nimeku imagine mdomo ulivyouweka wakati unaitoa hiyo 'Mfyuuu' huku unatingisha mguu mmoja na vidole vya mwisho umevisimamisha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Una bwana!!
Kama unaye hafanyi Kazi yake ipasavyo[emoji57] [emoji57]
 
479180.jpg

428990.jpg
 
Back
Top Bottom