XaviMessIniesta
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 2,231
- 2,778
[emoji125][emoji125][emoji125]Nashangaa unapenda chura ila humuweki ktk avatar yako
Huyo uliemkwapua hapa JF chura ipo mkuu?Mimi ndo ugonjwa wangu huo!
ndo huonganisha mahusianoHahaha atakuwa anapenda biko sio mimi
Unafeli mzee...ushauri wa bure jipange upya.Kuna manzi wangu humu jaman eti kanimwaga kisa avatar hizi du! Lol!
Nimembembeleza wapi hanielewi tena kachukua man mwingine humu humu!
Nasikitika yani manzi mtamu ana kisima cha ubatizo cha maji moto!sasa imekula kwangu!
Tena kuna wambea humu wanampamba tena wengine men walah!
Huyu Wa pili jamani mkosi gani huu
Bro mshana Jr nipe tunguli bhasi!
Kipusa chochote karibu uwe sabuni ya moyo na roho yangu!.
All the bestNishapoa mkuu nawinda kengine