Nina bahati mbaya na wanawake wa JF

Nina bahati mbaya na wanawake wa JF

Kumbe hapa JF watu wanakulana kwa kwenda mbele,sasa kwa nini wewe Miss Natafuta unanibania hicho kisime na hiyo chura??[emoji32][emoji32][emoji32]
 
Kuna manzi wangu humu jaman eti kanimwaga kisa avatar hizi du! Lol!

Nimembembeleza wapi hanielewi tena kachukua man mwingine humu humu!

Nasikitika yani manzi mtamu ana kisima cha ubatizo cha maji moto!sasa imekula kwangu!

Tena kuna wambea humu wanampamba tena wengine men walah!
Huyu Wa pili jamani mkosi gani huu
Bro mshana Jr nipe tunguli bhasi!

Kipusa chochote karibu uwe sabuni ya moyo na roho yangu!.
Unafeli mzee...ushauri wa bure jipange upya.
 
Ebu toa kwanza hiyo avater...then tafuta hela uanze kutongoza upya.
 
Back
Top Bottom