Asante mkuu ngoja niwatumie emailHebu wasiliana na hawa jamaa [email protected] watakupa utaratibu mzuri.
Zamani nilikuwa na mchizi wangu NGULI,
Jukwaani tunadalishana mistari,
Yenye mizani na vina hatari,
Siku hizi mambo si shwari,
Jukwaani hakuna mamentali.
Asante kwa ushauri.Mtafute p funk aka majani wa bongo records naona siku hizi hana jipya labda zitamsaidia
Mtafute p funk aka majani wa bongo records naona siku hizi hana jipya labda zitamsaidia