Nina Beat za nyimbo za hip hop, wapi pa kuuza!!

abcde

Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
38
Reaction score
5
Habari zenu!! Nina beat za nyimbo za hip hop ambazo nimetumiwa na rafiki yangu (ametengeneza yeye) yuko nje, naomba mnisaidie wapi naweza kuziuza. Asante!!!
 
Hebu wasiliana na hawa jamaa news@gongamx.com watakupa utaratibu mzuri.
Zamani nilikuwa na mchizi wangu NGULI,
Jukwaani tunadalishana mistari,
Yenye mizani na vina hatari,
Siku hizi mambo si shwari,
Jukwaani hakuna mamentali.
 
Last edited by a moderator:
Mtafute p funk aka majani wa bongo records naona siku hizi hana jipya labda zitamsaidia
 
Mtafute p funk aka majani wa bongo records naona siku hizi hana jipya labda zitamsaidia

Jumapili ya leo nikasema nipitie pitie threadz za zamaaaaani kidogo basi nikajikuta nafurahi tu siku nzima kwa kweli JF IZ NEVER BORING.............YOU MADE MA DAY,THANKS A LOT!.


Vipi abcde ulifanikiwa kuwapata hao watu mkuu au uliziuza kwa watu wengine kiongozi hujatupa mshindo nyuma (feedback) mkuu...?.


LOVELY SUNDAY.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…