Inategemea na chanzo cha hao mba,Nina binti yangu ametoka mba usoni.Atumie nini kuuondoa. Chanzo alikuwa na vipele akaenda hospital wakampa Sonaderm baada ya kutumia ndiyo mba zikaanzia hapo.
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
Asante kwa ushauriInategemea na chanzo cha hao mba,
Kama ni fungus, bacteria, or mixture
Mtu akiona picture ndo atawezabkushauri dawa sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ww n doctor?Whitefield tube
πππππ ulikuwa hujui!!Kumbe ww n doctor?
Hii quote ya nyimbo?gani? Au verse ya Kitabu?I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
Hiyo nayo ni tiba nzuri ya mba. Isipofaa atafute mafuta ya kusafishia bunduki. Ni mazuri sana.Tumieni mafuta ya break ya gari, fanya kuchua kwa kusugua mahali ambapo mba zipo mara mbili kwa siku ( asubuhi na jioni ) ndani ya wiki urudi ulete mrejesho.
Pia, zingatia wa nguo usivae nguo moja kwa muda mrefu na hakikisha unafua vizuri.
Ahsante.