Nina binti yangu ametoka mba usoni, atumie nini kuuondoa

sweetlee

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
4,050
Reaction score
14,770
Nina binti yangu ametoka mba usoni.Atumie nini kuuondoa. Chanzo alikuwa na vipele akaenda hospital wakampa Sonaderm baada ya kutumia ndiyo mba zikaanzia hapo.

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
 
Inategemea na chanzo cha hao mba,
Kama ni fungus, bacteria, or mixture
Mtu akiona picture ndo atawezabkushauri dawa sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumieni mafuta ya break ya gari, fanya kuchua kwa kusugua mahali ambapo mba zipo mara mbili kwa siku ( asubuhi na jioni ) ndani ya wiki urudi ulete mrejesho.

Pia, zingatia wa nguo usivae nguo moja kwa muda mrefu na hakikisha unafua vizuri.

Ahsante.
 
Hiyo nayo ni tiba nzuri ya mba. Isipofaa atafute mafuta ya kusafishia bunduki. Ni mazuri sana.
 
Back
Top Bottom