Wakuu nina mdogo wangu alisoma certificate hapa CBE akapata ajira sasa ni mwaka WA sita ofisi imeamua kumpa ufadhili WA kusoma kwa mwaka wa masomo 2012/2013 Yeye amechukua fomu za masters na tayari amejaza anataka kurejesha. Je anaweza kuchaguliwa asome masters. Kama haiwezekani aombe nn?
Nashukuru kwa mwangaza ulionipa mkuu!mmh ninavyojua kama ana certificate inabd asome diploma 2yrs,then degree 3 yrs,hapo ndio atakua ame qualify kwa masters,labda awe amesoma masomo mengine like Cpa au Csp,au associate diploma in banking hapo masters anaeza pata.
Elimu yake ni kidato cha nne kisha certificate ya cbe