Wakuu nina mdogo wangu alisoma certificate hapa CBE akapata ajira sasa ni mwaka WA sita ofisi imeamua kumpa ufadhili WA kusoma kwa mwaka wa masomo 2012/2013 Yeye amechukua fomu za masters na tayari amejaza anataka kurejesha. Je anaweza kuchaguliwa asome masters. Kama haiwezekani aombe nn?