Strong25
JF-Expert Member
- Dec 6, 2021
- 394
- 834
Hellow members natumaini mko poa kabisa
_Kama kijana mtanzania ninae ipambania kesho yangu ,kijana wa kimaskini ambae natamani siku moja nifanikiwe pia niwe daraja la mafanikio kwawengine ila changamoto nayopitia ni mzunguko wangu wa kipesa. Nafanya kazi za ufundi ila kupata kazi imekua nikazi nyingine.
Boss unakutafuta unampimia nyumba yake unampa hesabu yakazi yake anakwambia sawa fundi nitakutafuta,hio nitakutafuta ndo bye bye hutakaa uone tena simu yake,nikajiuliza au bei zangu kubwa..? Ila hapana mbona kuna mabosi nawapa bei yachini kabisa na kazi hawanipi.?
Siku unapita maeneo yale unakuta kazi ishafanywa namafundi wengine tena kwagarama kubwa (ukija kufatilia nikaribu mara mbili yabei uliotoa ww majukumu,familia inaniangalia nahii ndokazi yangu sina kazi nyingine nishapambana sana ila bado sioni future,nishafanya kazi viwandani nako nikama kupoteza muda,nishajaribu kutafuta connection zakazi mbali mbali ila bado hakuna kitu
Najua humu kuna watu wa hali zote (matajiri,maskini,wanaojiweza kiasi) _najua humu kuna watu washapitia changamoto nyingi zakimaisha ila now day washatoboa_mm kilio changu nifanye nini ili nifanikiwe kwenye hiki nachokifanya..? Njia zipi nipite,mbinu gani nitumie, najua ww ushapitia mengi so niko hapa kutaka msaada wako
Nakaribisha wazo lolote lile (elewa neno wazo lolote) so kama kuna namna unajua naweza fanya nikajinasua hapa nilipo bas usiache kunisaidia
Dunia tunapita (msaada wako kwangu huenda ukawa taa yangu yakijani kwenye maisha yangu na wengi usiowajua ambao wapo nyuma yangu
_mm ni fundi alluminium