Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Nini lakini kuharibiana biashara 😏,. Hujui kama kufa kufaana🤓Kwanini huyo mtaalamu asijisafishe kwanza yeye apate laki mbili ili amfanyie huyu mdau bure ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini lakini kuharibiana biashara 😏,. Hujui kama kufa kufaana🤓Kwanini huyo mtaalamu asijisafishe kwanza yeye apate laki mbili ili amfanyie huyu mdau bure ?
Yamekua hayoNjoo na laki nikupeleke kwa mtalamu usafishwe nyota😬😬
Weka kazi nzuri ulizofanya alafu hiyo kazi Kwa sasa naona pia welder wanafanya hivyo unatakiwa uwe versatile Ili kukidhi kipato chakoHellow members natumaini mko poa kabisa
_Kama kijana mtanzania ninae ipambania kesho yangu ,kijana wa kimaskini ambae natamani siku moja nifanikiwe pia niwe daraja la mafanikio kwawengine ila changamoto nayopitia ni mzunguko wangu wa kipesa. Nafanya kazi za ufundi ila kupata kazi imekua nikazi nyingine.
Boss unakutafuta unampimia nyumba yake unampa hesabu yakazi yake anakwambia sawa fundi nitakutafuta,hio nitakutafuta ndo bye bye hutakaa uone tena simu yake,nikajiuliza au bei zangu kubwa..? Ila hapana mbona kuna mabosi nawapa bei yachini kabisa na kazi hawanipi.?
Siku unapita maeneo yale unakuta kazi ishafanywa namafundi wengine tena kwagarama kubwa (ukija kufatilia nikaribu mara mbili yabei uliotoa ww majukumu,familia inaniangalia nahii ndokazi yangu sina kazi nyingine nishapambana sana ila bado sioni future,nishafanya kazi viwandani nako nikama kupoteza muda,nishajaribu kutafuta connection zakazi mbali mbali ila bado hakuna kitu
Najua humu kuna watu wa hali zote (matajiri,maskini,wanaojiweza kiasi) _najua humu kuna watu washapitia changamoto nyingi zakimaisha ila now day washatoboa_mm kilio changu nifanye nini ili nifanikiwe kwenye hiki nachokifanya..? Njia zipi nipite,mbinu gani nitumie, najua ww ushapitia mengi so niko hapa kutaka msaada wako
Nakaribisha wazo lolote lile (elewa neno wazo lolote) so kama kuna namna unajua naweza fanya nikajinasua hapa nilipo bas usiache kunisaidia
Dunia tunapita (msaada wako kwangu huenda ukawa taa yangu yakijani kwenye maisha yangu na wengi usiowajua ambao wapo nyuma yangu
_mm ni fundi alluminium
Pole sanaa, emu fika afisini kwetu tuone namna gani ya kukusaidiaHellow members natumaini mko poa kabisa

Thanks bro_ila unajua mara ingine kichwa tu kinapata moto ukicheki pande zote hakuna wakukushika mkono_then hapohapo ww ndo unaangaliwa uwasaidie wengineNakuombea mafanikio mkuu,ila jambo Moja la msingi acha kuishi kinyonge au kutia huruma ooh Mimi ni maskini n.k jiamini hivo hivo ulivyo kwa Imani yako utatoboa
Kwenye kampuni unakuta unalipwa labla laki mbili ama mbili nanusu kwamwezi_huko ilipo kampuni naww unapoishi nauli kila siku +kula yako unakuta hio pesa hata mwezi haufiki pesa ishakata by the way kupata kazi kwenye hizo kampuni pia sio rahisi piaIla Kama kupata Kazi zako inakuwa ngumu je hauwezi kufanya Kazi katika kampuni ?
Then fatisha mifumo yote ya spiritual