Nina changamoto nayopitia ya mzunguko wangu wa kipesa. Nafanya kazi za ufundi ila kupata kazi imekua nikazi

Kama una mtaji, wafanyie kazi yako kwa mkopo na wawe wanakulipa kidogo kidogo
Wapo watu wanafanya hivyo ila ni kampuni_kwamtu binafsi kufanya hivyo ningumu sana .kwanza kiuchumi wamtu pia ubinadamu siku hizi hakuna
 
Ila Kama kupata Kazi zako inakuwa ngumu je hauwezi kufanya Kazi katika kampuni ?

Then fatisha mifumo yote ya spiritual
 
Weka kazi nzuri ulizofanya alafu hiyo kazi Kwa sasa naona pia welder wanafanya hivyo unatakiwa uwe versatile Ili kukidhi kipato chako
 
Pole sanaa, emu fika afisini kwetu tuone namna gani ya kukusaidia
 
Nakuombea mafanikio mkuu,ila jambo Moja la msingi acha kuishi kinyonge au kutia huruma ooh Mimi ni maskini n.k jiamini hivo hivo ulivyo kwa Imani yako utatoboa
 
Nakuombea mafanikio mkuu,ila jambo Moja la msingi acha kuishi kinyonge au kutia huruma ooh Mimi ni maskini n.k jiamini hivo hivo ulivyo kwa Imani yako utatoboa
Thanks bro_ila unajua mara ingine kichwa tu kinapata moto ukicheki pande zote hakuna wakukushika mkono_then hapohapo ww ndo unaangaliwa uwasaidie wengine
 
Ila Kama kupata Kazi zako inakuwa ngumu je hauwezi kufanya Kazi katika kampuni ?

Then fatisha mifumo yote ya spiritual
Kwenye kampuni unakuta unalipwa labla laki mbili ama mbili nanusu kwamwezi_huko ilipo kampuni naww unapoishi nauli kila siku +kula yako unakuta hio pesa hata mwezi haufiki pesa ishakata by the way kupata kazi kwenye hizo kampuni pia sio rahisi pia
 
Muamini Mungu tu ilo ni swala la mdaa ap mbele kuna neema kubwa inakaribiaa pia usikate tamaa katika mapambano
 
Jaribu kufanya ' Digital Marketing '

Kazi zako zitangaze Sana mitandaoni then uwe unatoa na huduma za consultation bure ili kuwavutia wateja zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…