Nina degree katika field ya mazingira, natafuta kazi

Rahinuda

Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
12
Reaction score
8
Habari Wana JF,

Mimi ni binti wa miaka 23 napatikana dodoma level Yangu ya elimu ni degree katika field ya mazingira
Naomba msaada wa connection ya kazi au kwa yoyote Mwenye kuhitaji kibarua aniajiri Ili niweze kujikimu
Nb: kazi yoyote halali nina uwezo wa kuifanya 🙏
 
Nipe email yako hapa tuwasiliane
 
Kapige kozi za osha, noshc
 
Weka maelezo vizuri field ya mazingira ndio ipi environmental studies au environmental engineering vijana mnakosa kazi kwa kushinda kujielezea.
 
Weka maelezo vizuri field ya mazingira ndio ipi environmental studies au environmental engineering vijana mnakosa kazi kwa kushinda kujielezea.
Environmental planning and Management
 
Njoo pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…