Nina degree ya Biotechnology and Lab Science. Nataka mwakani nijaribu kuapply Clinical Medicine. Je, watanikubalia?

Kulwa real man

New Member
Joined
Nov 13, 2023
Posts
1
Reaction score
5
WanajamiiForums naomba kuuliza

Nahitaji msaada pia

Nina degree ya Biotechnology and Lab Science, nimesomea SUA nimegraduate tokea 2021

Nipo mtaan kazi sijapata lakini ndoto yangu ni kuwa Daktari. Nataka mwakani nijaribu kuapply CLINICAL MEDICINE. Je, watanikubalia maana kidato cha nne nimemaliza 2013.

Naomba msaada.
 
Duh kila la kheri safari yataka moyo hiyo
 
Wanakubali ni Pesa yako tu elimu haina mwisho Nacte na TCU Mifumo yao haiingiliani we andaa Pesa ya ada tu
 
Umechelewa kuomba ushauri...
Ungeweza kuomba bachellor of medicine and bachellor of surgery chuo kikuu makerere kama umesoma form 6 wanachukua kama una hiyo degree upo eligible kusoma medicine,ila sasa washafunga application za underhraduate kwa mwaka huu,bachellor of medicine and bachellor of surgery inakua juu ya clinical medicine
 
Makerere ya Uganda au
 
Wana scheme nying za kuombe kuna scheme ua Degree/diploma holder..kama hiyo bachellor yako unaweza kuomba kisoma degree ya udaktari
 
hio ela ya kulipia ada MD kwa.miaka.mitano ni bora ukatafuta kozi ya electric installation Veta ukapiga zako 2 year ukatafutia kazi pesa itayobaki anza biashara mdogomdogo
 
Kwann iyo hela ya kusoma miaka mitano mengine halaf urudi mtaani uwe huna la kufanya usianze biashara mdogo wangu au nyie hamuoni dunia inavoenda kama sie wengine tunaishi dunia tofaut labda
 
Si unapply kupitia cheti chako cha form 4 au 6 watakubali.
 
Haiwezekan wakose kijiwen.
Maslahi..........wengine kulipwa kama deiwaka ishu, na wale wakongwe kwenye fani wanakaba kila kona private yupo serikalini yupo, kuna vihospitali wakiona wapya malipo yao jau,, kuna mmoja ninamfahamu alipelekwa huko moro baadae akaamua kurudi na alisoma China, wengi kipindi wanasoma walijua wakiingia kazini maslahi mazuri,,,wengi wanasotea internships hawaajiriwi baadae wanaamua tu kuangalia upepo mwingine wa maisha

 
Ooh huyo wa china alisepa kisa maslai madogo au?
 
Soma kwanza heading yake vizuri halafu uje kuandika tena..

#YNWA
 
hio ela ya kulipia ada MD kwa.miaka.mitano ni bora ukatafuta kozi ya electric installation Veta ukapiga zako 2 year ukatafutia kazi pesa itayobaki anza biashara mdogomdogo
Hatufanani MALENGO na DHAMIRA ya maisha.
Mimi nilipiga short way, nikasoma diploma, nikaingia kazini nikaanza biashara nikarudi bachelor.

Niliingia dip nikiwa na vigezo vya bach, ila sijawahi mshauri mtu afanye hivyo ""JUST FOLLOW YOUR HEART""

#YNWA
 
Kwann iyo hela ya kusoma miaka mitano mengine halaf urudi mtaani uwe huna la kufanya usianze biashara mdogo wangu au nyie hamuoni dunia inavoenda kama sie wengine tunaishi dunia tofaut labda
Kwenye maisha kila mtu na mipango yake '"FOLLOW YOUR HEART""

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…