Nina degree ya Biotechnology and Lab Science. Nataka mwakani nijaribu kuapply Clinical Medicine. Je, watanikubalia?

Nina degree ya Biotechnology and Lab Science. Nataka mwakani nijaribu kuapply Clinical Medicine. Je, watanikubalia?

Ooh huyo wa china alisepa kisa maslai madogo au?
Itakua maana alipelekwa wilayani huko na alikua ndo anaanza internship hospitali ya serikali, akakaa miezi kadhaa akarudi dar,, labda aliona yaliyokua akilini mwake yapo tofauti na uhalisia
 
Hatufanani MALENGO na DHAMIRA ya maisha.
Mimi nilipiga short way, nikasoma diploma, nikaingia kazini nikaanza biashara nikarudi bachelor.

Niliingia dip nikiwa na vigezo vya bach, ila sijawahi mshauri mtu afanye hivyo ""JUST FOLLOW YOUR HEART""

#YNWA
Kwa hiyo akusikilize wewe siyo
 
Sawa mkuu,,,,mshahuri basi wewe
Heading ""Nina degree ya Biotechnology and Lab Science. Nataka mwakani nijaribu kuapply Clinical Medicine. Je, watanikubalia? ""

Anataka MWAKANI, Unamwambia kachela, kwani MWAKANI umefika?

#YNWA
 
WanajamiiForums naomba kuuliza

Nahitaji msaada pia

Nina degree ya Biotechnology and Lab Science, nimesomea SUA nimegraduate tokea 2021

Nipo mtaan kazi sijapata lakini ndoto yangu ni kuwa Daktari. Nataka mwakani nijaribu kuapply CLINICAL MEDICINE. Je, watanikubalia maana kidato cha nne nimemaliza 2013.

Naomba msaada.
Nenda China kanunue vifaa tiba anzisha duka kkoo, think out of box
 
Yes wanakupokea vzuri haijalishi umemaliza form 4 mwaka gani vyuo ni vingi nafasi ni nyingi swala ni ada lkn unless ni ndoto zako kuwa daktari wa binadamu bhs sikushaur kabisa kusoma clinical medicine ... Km unachungulia fursa za ajira bhs piga Diploma ya radiography
 
Heading ""Nina degree ya Biotechnology and Lab Science. Nataka mwakani nijaribu kuapply Clinical Medicine. Je, watanikubalia? ""

Anataka MWAKANI, Unamwambia kachela, kwani MWAKANI umefika?

#YNWA
Kama hujakurupuka na wewe ,,,ameshachelewa yy kaomba mwaka jana 2023 na sasa ndo hivyo imepita ila alikua na uwezo wa kuomba ndiyo.
 
Back
Top Bottom