Nina degree ya Biotechnology and Lab Science. Nataka mwakani nijaribu kuapply Clinical Medicine. Je, watanikubalia?

Ooh huyo wa china alisepa kisa maslai madogo au?
Itakua maana alipelekwa wilayani huko na alikua ndo anaanza internship hospitali ya serikali, akakaa miezi kadhaa akarudi dar,, labda aliona yaliyokua akilini mwake yapo tofauti na uhalisia
 
Kwa hiyo akusikilize wewe siyo
 
Sawa mkuu,,,,mshahuri basi wewe
Heading ""Nina degree ya Biotechnology and Lab Science. Nataka mwakani nijaribu kuapply Clinical Medicine. Je, watanikubalia? ""

Anataka MWAKANI, Unamwambia kachela, kwani MWAKANI umefika?

#YNWA
 
Nenda China kanunue vifaa tiba anzisha duka kkoo, think out of box
 
Yes wanakupokea vzuri haijalishi umemaliza form 4 mwaka gani vyuo ni vingi nafasi ni nyingi swala ni ada lkn unless ni ndoto zako kuwa daktari wa binadamu bhs sikushaur kabisa kusoma clinical medicine ... Km unachungulia fursa za ajira bhs piga Diploma ya radiography
 
Heading ""Nina degree ya Biotechnology and Lab Science. Nataka mwakani nijaribu kuapply Clinical Medicine. Je, watanikubalia? ""

Anataka MWAKANI, Unamwambia kachela, kwani MWAKANI umefika?

#YNWA
Kama hujakurupuka na wewe ,,,ameshachelewa yy kaomba mwaka jana 2023 na sasa ndo hivyo imepita ila alikua na uwezo wa kuomba ndiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…