nina div 3 point 13 pcm naweza kupata chuo?

nina div 3 point 13 pcm naweza kupata chuo?

jmura

Member
Joined
Apr 27, 2010
Posts
57
Reaction score
9
wadau naomba msaada nina div 3 point 13_phy_E,chem_D, na maths_D naweza kupata chuo? Msaada wanajamvi
 
wadau naomba msaada nina div 3 point 13_phy_E,chem_D, na maths_D naweza kupata chuo? Msaada wanajamvi

usihofu utapata chuo chochote na mkopo juu,sema issue ni degree programe ipi unataka
 
Chuo utapata! Ila kuwa makini na programs, kuna baadhi ya programs, japokuwa ni za sayansi, HAKUNA MKOPO!
 
Appy ardhi university,wao huwa hawana pozi nying kama COET.
 
vp kwa matokeo kama hayo bt kuna F ya GS kuna mkopo hapo? kwa kozi za engineering
unaweza kupata ila USHAURI kuwa makini na uchaguzi wako wa kozi pia kuna VYUO kama ARDHI msikisahau kina kozi nzuri sana na wana cut-off point ndogo ...
achana na kozi zenye ushindani
 
Unapata ila soma course ambayo hutasota sokoni maana una onekana familia yako kama yangu.
 
wadau naomba msaada nina div 3 point 13_phy_E,chem_D, na maths_D naweza kupata chuo? Msaada wanajamvi

Tumaini unaenda mbona nenda kapige Mathematics and Computer utatoka kwenye gemu
 
Vipi kuhusu PCB. Div 3 ya 16
Phy-S
Chem-D
Bio-S

Unaweza Pata Chuo ?
 
Bila shaka utapata kitu cha msingi ni kuwa makini kwenye uchaguzi wa kozi usijechagua kozi zinazotaka watu waliofaulu kwa alama za juu sana.
 
Back
Top Bottom