Nina Division 4 ya 30..Nataka kurist

Nina Division 4 ya 30..Nataka kurist

Nyanimweupe

Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
26
Reaction score
1
Jamani kwa kweli mimi nina Division four ya point 30 hivyo familia imeamuru ni rudie mtihani.
Naomba msaada ivi ufaulu unaanzia ngap kwa mtu anaye risit yani D inaanza na ngapi mpaka C,
shule zipi ni bora kwa mikoa ya iringa na mbeya
 
Jamani kwa kweli mimi nina Division four ya point 30 hivyo familia imeamuru ni rudie mtihan.
Naomba msaada ivi ufauru unaanzia ngap kwa mtu anaye risit yan D inaanza na ngap mpaka C,
shule zip ni bora kwa mikoa wa iringa na mbeya
Kwa haya uliyoandika nakushauri uyafanyie kazi kabla hujaanza mchakato wa kurudia mitihani.
 
Mwanangu jitahidi kwanza uanze japo English course maana inaonekana hujui hata unachotaka kukifanya ujue.....
 
IRI UFAURU kazana upate mia acha KUURIZIA cuttoff points utafeRI tena
 
kama una D nne ni bora ujiunge chuo ukasome cheti (certificate), mdogo wangu alifanya hivyo na sasa amepata kazi ni afisa mtendaji na anaendesha maisha yake.
 
kaza buti tena jamani mana elimu kwa sasa ndivyo ilivyo kazana kweli mana kurisiti kutoka ni kazi kweli hasa kwa sasa
 
inawezekana kweli mtu kujinyonga kwa ajiri ya matokeo jamani??????????
 
pimaq na kichwa chako kurudia paper ni mchakato ushauri wng kapige fani kwa ngazi ya cheti.
 
lol ndo maana umefeli. Yani hata urudie huwezi kufaulu. KURIST ndiyo nini? kazi face book tu, udaku na mambo yasiyofaa.
JF ni jukwaa la wanaofikiri, wewe unataka watu wakusaidie kufikiri.. oh lalalala kazi nzito.

nadhani wazo lako la kurudi darasa la 6 ni zuri zaidi. achana na blogs kwanza.
 
Enzi zetu tulikuwa tunakremisha nyimbo za kina Aliya, brandy, R Kelly and the like lakini kwasasa bize na nyimbo za Diamond na kujifunza kiduku na kujifanya kuandika kifupi maneno ya kiingereza mkijiona mnajua kumbe hamjui hata hizo spelling zenu. Kuanzia sasa dogo yeyote akiniandikia Micn yoh, luk pwity, lyk nitamtoa baluuu maana ndo mnapoteza maubongo yenu mkijumlisha na matone mliyolishwa basi shida tupu
 
Hivi humu Jf under 18 wanaruhusiwa?
Kumbe wakati wenzie wanakamua usiku yeye yupo MMU, CHTCHAT
kama leo anajua kupost jiulize jf kaanza lini kama sio 4m two!!
 
hebu tutafakalini wapendwa sio wote wanaofeli ni coz ya jf no,wengne wanafel kwa matatzo mbal2,hvyo ni vyema kuwashaur hawa madogo wanaosoma il kujiepusha na hatar hii!
 
Karibia wote mliopost humu mnaonekana ni wapumbavu wa kutupwa hamjui namna ya kufariji na kusaidia watu, Huyo kijana kaomba ushauri alafu nyie waganga njaa wachache mnajifanya mnayajua sana maisha, hivi mnapomiattack huyo mnamjenga au sifa tu za kijinga.

Moda muwe mnapiga ban wapumbavu kama hawa ambao wao kwao ni utani muda wote kwan wanashusha hadhi la hili jukwaa.
 
Enzi zetu tulikuwa tunakremisha nyimbo za kina Aliya, brandy, R Kelly and the like lakini kwasasa bize na nyimbo za Diamond na kujifunza kiduku na kujifanya kuandika kifupi maneno ya kiingereza mkijiona mnajua kumbe hamjui hata hizo spelling zenu. Kuanzia sasa dogo yeyote akiniandikia Micn yoh, luk pwity, lyk nitamtoa baluuu maana ndo mnapoteza maubongo yenu mkijumlisha na matone mliyolishwa basi shida tupu

ww acha ujinga pia jiheshimu sasa enzi zako ww zinamsadia nin mleta mada?
 
Karibia wote mliopost humu mnaonekana ni wapumbavu wa kutupwa hamjui namna ya kufariji na kusaidia watu, Huyo kijana kaomba ushauri alafu nyie waganga njaa wachache mnajifanya mnayajua sana maisha, hivi mnapomiattack huyo mnamjenga au sifa tu za kijinga.

Moda muwe mnapiga ban wapumbavu kama hawa ambao wao kwao ni utani muda wote kwan wanashusha hadhi la hili jukwaa.

kaka nashukuru maana mwenye hekima hunena yalio mema asanteh
 
wengi wenu hamjamuelewa dogo yeye katoa point zake za ufaulu wake ili mmusaidie kutokana na matokea aliyopata lkn nyinyi hamtoi msaada kazi kuponda 2 huo ni upumbavyu co wote waliokuwa wanatumia jf wameferi mmekariri vibaya. wakubwa akiri f!!!
 
Back
Top Bottom