Nyanimweupe
Member
- Feb 25, 2013
- 26
- 1
Kwa haya uliyoandika nakushauri uyafanyie kazi kabla hujaanza mchakato wa kurudia mitihani.Jamani kwa kweli mimi nina Division four ya point 30 hivyo familia imeamuru ni rudie mtihan.
Naomba msaada ivi ufauru unaanzia ngap kwa mtu anaye risit yan D inaanza na ngap mpaka C,
shule zip ni bora kwa mikoa wa iringa na mbeya
Kwa haya uliyoandika nakushauri uyafanyie kazi kabla hujaanza mchakato wa kurudia mitihani.
IRI UFAURU kazana upate mia acha KUURIZIA cuttoff points utafeRI tena
inawezekana kweli mtu kujinyonga kwa ajiri ya matokeo jamani??????????
Enzi zetu tulikuwa tunakremisha nyimbo za kina Aliya, brandy, R Kelly and the like lakini kwasasa bize na nyimbo za Diamond na kujifunza kiduku na kujifanya kuandika kifupi maneno ya kiingereza mkijiona mnajua kumbe hamjui hata hizo spelling zenu. Kuanzia sasa dogo yeyote akiniandikia Micn yoh, luk pwity, lyk nitamtoa baluuu maana ndo mnapoteza maubongo yenu mkijumlisha na matone mliyolishwa basi shida tupu
Karibia wote mliopost humu mnaonekana ni wapumbavu wa kutupwa hamjui namna ya kufariji na kusaidia watu, Huyo kijana kaomba ushauri alafu nyie waganga njaa wachache mnajifanya mnayajua sana maisha, hivi mnapomiattack huyo mnamjenga au sifa tu za kijinga.
Moda muwe mnapiga ban wapumbavu kama hawa ambao wao kwao ni utani muda wote kwan wanashusha hadhi la hili jukwaa.