Nina Division Two ya point 10 (PCB)

Vyuo nimeomba vinne vingine Bado nataka kukancell admissions ili ni reaply
Kwa ardhi nakushauri hizi kozi 3

1. Architecture (highly recommend, na lazima upende kuchora hasa majengo! Ni nzuri kujiajiri na ajira)

2. Bulding economics (pia ilikua inajulikana kama QS hawa kazi yao ni kuchukua kazi za architects na engineers na kuandaa gharama za mradi, ni nzuri kujiajiri na ajira kwa private)

3. Environmental engineering (ajira hasa serikali).

All in all, 1 na 2 ndio the best in my opinion! Cha msingi ukipangiwa pambana uwe smart kichwani.
 
Huezi amini sikujua hata kama ni physics kama physics
PHy ni nzuri na unaposemea phy na hesabu hizi ni natural sciences hizi ndio zimebeba engineering na tech! Na ndio maana kwa wenzetu mtu aliyesoma hesabu anauwezo wa kujua computer kuliko hata mtu wa comp science.

Shida ni nchi yetu, hizi field kwa sasa hazina application kiivo maana bongo bado tuko nyuma sana! Ungekua marekani au ulaya hapo sawa ila bongo utasoma namba!

Kwa kuzingatia muda ni vyema usome vitu vinavyoendana na mazingira ya bongo.
 
TH
Thanks mucheee
 
Thanks mucheee
 
Ahsa
Ahsante nashukuru vipi kuhusu competition ciwez kukosa chance! kutokana na competition labda
 

Hiyo namba 20 yenyewe vipi
 
Physics in general katika nchi yet kazi ni chache sana ususa uwe mkufunzi wa chuo(tutorials assistant,lecturer n.k au katika taasisi ya atomu Tanzania lakin ukifanya ualimu wa physics miaka sio mingi utakuwana ajira fuatilia kama ajira za mwaka jana 2023 mwalimu wengi wa physics walio maliza 2022 waliajiriwa wakati kumkuta mwalimu wa masomo mengine waliomaliza 2022 kuajiriwa ni kazi kwa sababu ya uwingi wao fanya reference ajira za mwalimu 2021-2023.
Kazi ni kwako
 
Kama umeconfirm bado unaweza ku unconfirm au watafute watu wa TCU watakupa muongozo
 
Coze❎
Course❎
Course ✅
 
Nimechaguliwa UDOM kusoma bachelor of science in physics.

Nimejaribu kufuatilia naona kama sio ualimu ila wakati nafanya application nilidhani ni education.

Naombeni mnishauri cha kufanya wakubwa zangu.
Hii itakugharimu. Kuna mtu amesoma hiyo, alimaliza 2016. Kwa sasa ni Mwalimu wa Physics, na imemlazimu kusoma Postgraduate Diploma in Education ili awe Mwalimu professional
 
Shida waliosoma PCB hawana interests na kozi kama Forestry, Bee Keeping, Nutrition au Physical Education & Sports Sciences ambapo ni angalau kuliko kujazana Clinical Medicine.
 
Nimechaguliwa UDOM kusoma bachelor of science in physics.

Nimejaribu kufuatilia naona kama sio ualimu ila wakati nafanya application nilidhani ni education.

Naombeni mnishauri cha kufanya wakubwa zangu.
Maisha ya chuo/college yanahitaji kujipanga ili kukabiliana na changamoto, kama wahenga wanavyosema changamoto ni kipimo cha akili. Miongoni mwa changamoto hizo ni chakula na malazi/makazi/accomodation (Sio maradhi wapendwa😊).

Kwenye issue ya chakula mambo yakiwa magumu mkombozi ni mihogo, nakiheshimu sana hiki chakula.😅

Kwenye issue ya malazi/accomodation/makazi hiki ndo kipengele maridhawa..!😁

Yakupasa upate chumba cha kuishi ambacho kimetulia na hakina mambo mengi na kipo mazingira ambayo hayata disturb mambo yako ya msingi.

Kwa wanachuo wanaopenda kuishi kigamboni karibu na Ferry/Kivukoni Nicheki Whatsapp ili upate Room ya ndoto yako.

Asante.
WhatsApp:+255620523897.
#Chumba #Vyumba #Kigamboni #Ferry #Kivukoni #Pantoni #Chuo #Vyuo #College #Universitylife #Collegelife
 
Ningekuwa na mpango wa shule kwa sasa ningesoma kilimo na kisha kuwaza kujiajiri na siyo kuajiriwa lakini kama isingefaa kilimo ningesoma fani ambayo naweza kujiajiri na siyo kutegemea ajira
kwa maisha ya sasa kuwaza ajira ni kupoteza mda
Wazeni pia nje ya mipaka kwamba ukisoma nini ukienda wapi nje huko kuna uhitaji wa watu aina yako
 
Environmental engineering
Inaleta kazi gani brother
Ina kazi nyingi unaweza kuwa engineer wa maji ukadesign visima ukadesign system za mabomba ya maji, tunaweza kufanya water treatment ya maji kuna a lot of approach hapo huwz kuzijua tunadesign mabwawa ya maji tunafanya construction za mijengo as civil japo tuna concept chache ilaa ata structure analysis tumesoma na soil mechanics kufahamu kind of soil na type of foundation ya kuapply tunafanya waste management tunadesign vijumba vya kuhifadhi taka tunafanya environmental impact assessment kwenye mirad yote hatukosi ukiwa na osha una nafas ya kuwa environmental officer tunauwezo wa kufanya b.o.q kwenye mrad wowote kuprice materials tunafanya building services zote installation ya watercloset na vit vngne vya mfumo wa choo kwenye nyumba installation za ac, firefighting system mambo ya sprinkler ni vitu ving mzee siwez kumaliza environmental engineer kutoka ardhi university muogope mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…