Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Kwa ardhi nakushauri hizi kozi 3Vyuo nimeomba vinne vingine Bado nataka kukancell admissions ili ni reaply
1. Architecture (highly recommend, na lazima upende kuchora hasa majengo! Ni nzuri kujiajiri na ajira)
2. Bulding economics (pia ilikua inajulikana kama QS hawa kazi yao ni kuchukua kazi za architects na engineers na kuandaa gharama za mradi, ni nzuri kujiajiri na ajira kwa private)
3. Environmental engineering (ajira hasa serikali).
All in all, 1 na 2 ndio the best in my opinion! Cha msingi ukipangiwa pambana uwe smart kichwani.