Bro njoo kinole hapa kuna boxer inahitaji dereva njoo nikupe hukosi buku saba kwa sikuDuh ase acha kujivunjia moyo basi sasa PCB na mathematics wapi na wapiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro njoo kinole hapa kuna boxer inahitaji dereva njoo nikupe hukosi buku saba kwa sikuDuh ase acha kujivunjia moyo basi sasa PCB na mathematics wapi na wapiii
Course nzuri sana ,sema perception Kwa hapa Bongo ,watu hawaelewi applications za hii course ,hii course inalenga kutoa watafiti ,wavumbuzi na wabunifu wa technology .Nimechaguliwa UDOM kusoma bachelor of science in physics.
Nimejaribu kufuatilia naona kama sio ualimu ila wakati nafanya application nilidhani ni education.
Naombeni mnishauri cha kufanya wakubwa zangu.
DUHii mweny bahati habahatishiiiiSasa hivi unaweza usielewe, kifupi Sasa hivi huku mtaani bachelor degree ni maafisa usafirishaji
View attachment 3089765
Siunajua watu tunataka money baadayeCourse nzuri sana ,sema perception Kwa hapa Bongo ,watu hawaelewi applications za hii course ,hii course inalenga kutoa watafiti ,wavumbuzi na wabunifu wa technology .
Elon Musk mwenyewe ana degree ya Physics ,hebu niambie ,mnakionaje kile kichwa na mambo kinachoyafanya ?
Ukisoma hii course kuwa na vision huko mbele ya kufungua hata tech startup yako
Una malengo ya kuwa nani hapo baadae ukishahitimu hiyo bachelor of science in Physics?Nimechaguliwa UDOM kusoma bachelor of science in physics.
Nimejaribu kufuatilia naona kama sio ualimu ila wakati nafanya application nilidhani ni education.
Naombeni mnishauri cha kufanya wakubwa zangu.
Omba tena
Ardhi
Sijachaguliwa brother
Hiyo naikubal vipi kuhusu ugumu wa kozi?Soma hiyo course kijana, usiwaze maokoto piga gpa kali ukimaliza kasome masters yyte kuhusu mambo ya technology ( robotics, aerospace, industrial tech etc) najua ukiua vizuri huwezi kukosa scholarship US, russia au hata turkey usiwe na haraka ya maisha wewe bado mdogo kuwa na ndoto kubwa usiwasikilize hao maboya wanaokushauri ukasome nursing WTF, uzuri hiyo itakufungulia uwanja mpana katika kuchagua course ya masters
Kama sio ualimu, basi mahukuru Mungu...Nimechaguliwa UDOM kusoma bachelor of science in physics.
Nimejaribu kufuatilia naona kama sio ualimu ila wakati nafanya application nilidhani ni education.
Naombeni mnishauri cha kufanya wakubwa zangu.
Mkuu hamna kitu hapoNimechaguliwa UDOM kusoma bachelor of science in physics.
Nimejaribu kufuatilia naona kama sio ualimu ila wakati nafanya application nilidhani ni education.
Naombeni mnishauri cha kufanya wakubwa zangu.
Wewe unaweza nishauri zaidi nimepanda ushauri wako nisaidie nO zako za simu brotherMkuu hamna kitu hapo
Nina experience na hiyo program nimesoma UDOM , college of natural and mathematical science (CNMS)
Bsc Physics, Biology, Mathematics ** unaenda kusoma theory na practical kama advance
Ni program isiyo na future.
USHAURI
Kama unaweza kusoma diploma ya afya kasome
Ikishindikana, kasome education (Physics & chemistry)
Make sure uwe competent na upate ufaulu mzuri upambanie kufundisha college na vyuo vikuu.
Kama unaona huwezi kuwa competent achana kabisa na ualimu.
Maana utakuwa ushaingia kwenye mfumo wa umaskini.