Nina Division Two ya point 10 (PCB)

Nina Division Two ya point 10 (PCB)

SASA kama sio sisi tutakaoanzisha wote tukapondea unadhani tutatoboa?
Wewe dogo unabahati sana, watu wanashare uzoefu wao hapa sasa wewe jichanganye. Elimu ya sasa ili utoboe kibongo bongo inatakiwa ujanja ujanja na sio kusoma sana , kuna course watu wanasoma shortly pengine mwaka au chini ya mwaka na ana uhakika wa kazi nzuri. Sasa wewe jichanganye 4 yrs of nothing
 
SASA kama sio sisi tutakaoanzisha wote tukapondea unadhani tutatoboa?
Kama unataka kuanzisha poa tu kasome

Hili ni TZ ndugu, kuna miaka kama mitatu watu walihamasishwa kusoma petroleum (engineering na chemistry)

Walikuwa wanachaguliwa PCM wenye 3,4,5 na wengine walipata scholarship ya kwenda China


Ngoma ikawa nzito baada ya kumaliza, walijuta

Nchi yetu kivyetuvyetu
 
S
Wewe dogo unabahati sana, watu wanashare uzoefu wao hapa sasa wewe jichanganye. Elimu ya sasa ili utoboe kibongo bongo inatakiwa ujanja ujanja na sio kusoma sana , kuna course watu wanasoma shortly pengine mwaka au chini ya mwaka na ana uhakika wa kazi nzuri. Sasa wewe jichanganye 4 yrs For sure,💯
 
Nimechaguliwa UDOM kusoma bachelor of science in physics.

Nimejaribu kufuatilia naona kama sio ualimu ila wakati nafanya application nilidhani ni education.

Naombeni mnishauri cha kufanya wakubwa zangu.
Hata hiyo two wenda uliipata kwa kuibia.

Kweli pcb nzima unachagua kozi ambayo huijui?

Hata pale kcmc hujapata kozi yoyote?

KWa two yako ulishindwa hatakuomba building economics, architecture, geomatics, irrigation ya sua? Hata environmental engineering hukuona? Hata land valuation?

Hiyo phy ungekua uko USA au ulaya au asia ndio ningekuelewa.

Utapoteza muda kusoma vitu ambavyo hupendi uje uanze kutusubua badae.

Badilisha kozi kama haifai acha chuo uombe tena mwakani. Bora upoteze mwaka mmoja kuliko miaka3.
 
Back
Top Bottom