Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,362
- Thread starter
- #41
We dogo elf 40 ndogo😀😀kila kitu kwanguKwa pesa hiyo labda gari ya maboksi.
We dogo elf 40 ndogo😀😀kila kitu kwanguKwa pesa hiyo labda gari ya maboksi.
Mi sitak week nataka kwa siku mojaIyo ni ya kukodi baiskeli kwa wiki
😀😀😀View attachment 3612674
Mueleweni mleta mada😁
Una gar mkuuMbona Hii ni bei ya Siku 1.
Weka full Tank.
Lipa hela yote ya wiki nzima kwa mkupuo (40k×7).
Matengenezo na service juu ya mwenye gari.
Deal inatakiwa ikae namna hiyo.
Haya ww mwenye scaniaSio kweli. Huna hata pikipiki
Kadi ya gari ataitoa wapi?Kuna uwezekano mkubwa hata hii unayoomba uazimwe kwa 40k utaiweka bond.
Hata bei ya bodaboda haiko chini hivyo!Utakua hauna gari mazee kama haujui kwa siku wanakodi Tsh ngapi?
Wanzuki ama CHIMPUMU?Nikilewa nakuwa hivi😫
Inaonekana hapa JF kuna watu wengi wenye matatizo ya akili. Hivi huu upumbavu nani aliwaambia hapa ni mahali pake. Ndio maana nchi hii ipo nyuma siku zote.Mkuu baba mwenye Gari.
Gari yangu nimeiweka bondi sasa niazime gari yako kwa wiki moja!
Nina elf 40.
Mwanza town
Nyamagana
Kiwingu!Wanzuki ama CHIMPUMU?
Mkuu baba mwenye Gari.
Gari yangu nimeiweka bondi sasa niazime gari yako kwa wiki moja!
Nina elf 40.
Mwanza town
Nyamagana
Mkuu baba mwenye Gari.
Gari yangu nimeiweka bondi sasa niazime gari yako kwa wiki moja!
Nina elf 40.
Mwanza town
Nyamagana
Utatumia maji au petroli?Mkuu baba mwenye Gari.
Gari yangu nimeiweka bondi sasa niazime gari yako kwa wiki moja!
Nina elf 40.
Mwanza town
Nyamagana
Labda gari ya ungo.Yaani 40,000 kwa wiki? Hata pikipiki hupati kwa bei hiyo, marejesho kwa kampuni ya watu weekly ni 86,000. Wewe unataka 40,000 tena IST kwa wiki.
Futseke!
😄Kuna mtu nilimwambia nina 30k
Anipe papuchi niichape kwa voda fasta
Akanijibu kwa upole sana, hiyo hela nikanunue kuku wa kienyeji, nile nilale kwani haitoshi kulia papuchi yake.
🤣Huu uzi ungeuanzisha mwaka 1990 ungeweza kupata hiyo Gari kwa hela hiyo.
Hii ndo gar ya mume wa dadaako? Yan shemej yakoNipe 500k uende nayo hii
View attachment 3612609