yusra Ibrahim
New Member
- Oct 11, 2018
- 3
- 2
Nilikuwa nakuenjoy. Vipi kuhusu choo unachotumia kiko kwenye hali ya usafi?
Sasa tangu lin "me" akawa na mimbaWewe ni Me au Ke?
Hujawahi kuona?Sasa tangu lin "me" akawa na mimba
@Sky Eclat njoo utoe msaada hapa dada.Yah choo kisaf
Poleeeeeeeeee.......Namimba ya mie6 nazumbuliwa na fangasi nishatumia sana dawa za mahospital lkn wap tatzo bado lipo pale pale hd nmekataa tamaa ya kupona..kinachoni changanya zaid na kunitia hof kuhc my bby wng wa tumbon je hatopata na madhara yoyote
Pole.... Kunywa maji mengi na jitaidi kua msafi Kwa nguo zako za ndani...Namimba ya mie6 nazumbuliwa na fangasi nishatumia sana dawa za mahospital lkn wap tatzo bado lipo pale pale hd nmekataa tamaa ya kupona..kinachoni changanya zaid na kunitia hof kuhc my bby wng wa tumbon je hatopata na madhara yoyote
Kuna mawili kati yako au huyo bwana wako mnatabia ya kuchepuka...!Namimba ya miezi 6 nazumbuliwa na fangasi nishatumia sana dawa za mahospital lakini wapi tatizo bado lipo pale pale hadi nimekataa tamaa ya kupona kinachoni changanya zaidi na kunitia hofu kuhisi my bby wng wa tumbon je hatopata na madhara yoyote
Uliza nataka nione kama swali lako linafanana na swali nililonalo.Napenda kuuliza swali
JF kumevamiwa muda sio mrefu patageuka FB 'NAZUMBULIWA' duh!Namimba ya miezi 6 nazumbuliwa na fangasi nishatumia sana dawa za mahospital lakini wapi tatizo bado lipo pale pale hadi nimekataa tamaa ya kupona kinachoni changanya zaidi na kunitia hofu kuhisi my bby wng wa tumbon je hatopata na madhara yoyote