Nina fangasi zisizo pona nahitaji msaada

yusra Ibrahim

New Member
Joined
Oct 11, 2018
Posts
3
Reaction score
2
Namimba ya miezi 6 nazumbuliwa na fangasi nishatumia sana dawa za mahospital lakini wapi tatizo bado lipo pale pale hadi nimekataa tamaa ya kupona kinachoni changanya zaidi na kunitia hofu kuhisi my bby wng wa tumbon je hatopata na madhara yoyote
 
Pole sana. Jaribu kwenda kwenye hospitali za mama na mtoto.
 
Namimba ya mie6 nazumbuliwa na fangasi nishatumia sana dawa za mahospital lkn wap tatzo bado lipo pale pale hd nmekataa tamaa ya kupona..kinachoni changanya zaid na kunitia hof kuhc my bby wng wa tumbon je hatopata na madhara yoyote
Poleeeeeeeeee.......
 
Unatumia dawa je NGUO zako za ndani umezibadilisha?? Tiba ya fungus inahusisha Na kubadilisha NGUO za ndani
 
Namimba ya mie6 nazumbuliwa na fangasi nishatumia sana dawa za mahospital lkn wap tatzo bado lipo pale pale hd nmekataa tamaa ya kupona..kinachoni changanya zaid na kunitia hof kuhc my bby wng wa tumbon je hatopata na madhara yoyote
Pole.... Kunywa maji mengi na jitaidi kua msafi Kwa nguo zako za ndani...

Mconsult gynecologist atakusaidia
 
Namimba ya miezi 6 nazumbuliwa na fangasi nishatumia sana dawa za mahospital lakini wapi tatizo bado lipo pale pale hadi nimekataa tamaa ya kupona kinachoni changanya zaidi na kunitia hofu kuhisi my bby wng wa tumbon je hatopata na madhara yoyote
Kuna mawili kati yako au huyo bwana wako mnatabia ya kuchepuka...!

Kikubwa jitibu na pia mwenzako atabiwe, ungefanya kutumia limao changanya na chumvi ila tumia maeneo ya nje mara baada ya kujisafisha.
 
Namimba ya miezi 6 nazumbuliwa na fangasi nishatumia sana dawa za mahospital lakini wapi tatizo bado lipo pale pale hadi nimekataa tamaa ya kupona kinachoni changanya zaidi na kunitia hofu kuhisi my bby wng wa tumbon je hatopata na madhara yoyote
JF kumevamiwa muda sio mrefu patageuka FB 'NAZUMBULIWA' duh!
 
Back
Top Bottom