July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
kama wewe n member humu ilikuwa lazima ufelli. maana ukiona mtu yupo humu ndani ujue kashachezea mitandao ya kijamii mingi sana kitu ambacho kwa umri wako na elimu uliyokuwa ukiipata haviendani.. haya mamitandao yanawaharibini sana vijana. hapo ulipo unaweza kuwa umefungua page hata saba za mitanadao tufauti!!
Mdogo wangu we nenda katafute certificate course yoyote uipendayo uanze nayo ili upate ujuzi na iweze kukusaidia kusonga mbele, huwezi jua waweza fika degree kama kweli una malengo ya kusoma.
Yeah ! Mimi ni miongoni mwa candidate wa mwaka jana 2012 .Bado naamini kila kilichotokea kwangu was fate
Kweli nimeamini Tanzania sio nchi ya wasaidiaji mara ooh nenda chadema ooh kaombe kazi kwa ndalichako
HALAFU wameelimika sijui kwa mawazo yao mabaya yaani kwa hali hii
I HATE EDUCATED PEOPLE note ya kwamba i am not mburula as you think about...
Yeah ! Mimi ni miongoni mwa candidate wa mwaka jana 2012 .Bado naamini kila kilichotokea kwangu was fate
Nina C ya chemistry na yalyobaki yote D
BIG deal nifanyaje?