Nina four ya 27 waheshimiwa!

Nina four ya 27 waheshimiwa!

kama wewe n member humu ilikuwa lazima ufelli. maana ukiona mtu yupo humu ndani ujue kashachezea mitandao ya kijamii mingi sana kitu ambacho kwa umri wako na elimu uliyokuwa ukiipata haviendani.. haya mamitandao yanawaharibini sana vijana. hapo ulipo unaweza kuwa umefungua page hata saba za mitanadao tufauti!!

mkuu hapo umekosea.. Angekuwaga anakaa humu jukwa la elimu asingefeli.. Unless facebook
 
Jiunge Chadema utapata cheo kwani hata mwenyekiti Ana elimu sawa na yako
 
Mdogo wangu we nenda katafute certificate course yoyote uipendayo uanze nayo ili upate ujuzi na iweze kukusaidia kusonga mbele, huwezi jua waweza fika degree kama kweli una malengo ya kusoma.

kama ana zero?
 
Kaombe kazi ya kufanya usafi pale wizara ya elimu au pale ofice za NDELUCHAKO NECTA nafasi zipo.
 
Watu wanaamini fate.

Kwa nini mwenye four ya 27 asione hata haya kujitangaza.

Quit the fatalism, make your own way.
 
bro i liked your comment....very constructive..!!
 
Kweli nimeamini Tanzania sio nchi ya wasaidiaji mara ooh nenda chadema ooh kaombe kazi kwa ndalichako
HALAFU wameelimika sijui kwa mawazo yao mabaya yaani kwa hali hii
I HATE EDUCATED PEOPLE note ya kwamba i am not mburula as you think about...
 
The secretary;kama ana zero?

Wewe nahisi hujui kusoma coz maelezo nina four ya 27 yaani C ya chemistry na yalyobaki yote D
CBG imekataa tu kwa sababu mungu ndo kapanga
 
Kurudia sio salama kbs bse ni kama unataka kucheza kamari.unaweza rudia then ukakosa au ukapata alf ukaenda A level alf frm six ukala mzinga tena. Ca msingi tafuta koz za certificates za mifugo au afya as zinalipa nw.
 
Kurudia sio salama kbs bse ni kama unataka kucheza kamari.unaweza rudia then ukakosa au ukapata alf ukaenda A level alf frm six ukala mzinga tena. Ca msingi tafuta koz za certificates za mifugo au afya as zinalipa nw. Alf kuwa serious na masomo achana na matumiz ya mitandao ya kijamii kila tym.
 
There is nothing like fate.
Its opportunity meeting preparation that will bring you success. You reap what you sow. Ungekuwa mwanangu wewe, ungesimamia shamba mwaka mzima. Nikikutafutia shule utajua kuithamini.
Yeah ! Mimi ni miongoni mwa candidate wa mwaka jana 2012 .Bado naamini kila kilichotokea kwangu was fate
 
King'asti;There is nothing like fate.
Its opportunity meeting preparation that will bring you success. You reap what you sow. Ungekuwa mwanangu wewe, ungesimamia shamba mwaka mzima. Nikikutafutia shule utajua kuithamini.

Watu wa arts naona wametawala sana jukwaa la elimu
Think twice in it
 
Kiranga;Watu wanaamini fate.

Kwa nini mwenye four ya 27 asione hata haya kujitangaza.

Quit the fatalism, make your own way.

Mficha maradhi kifo humuumbua
shame or fear ya nn juu ya msaada wangu kwenu nawashukuru all who give me smart idea
 
Kweli nimeamini Tanzania sio nchi ya wasaidiaji mara ooh nenda chadema ooh kaombe kazi kwa ndalichako
HALAFU wameelimika sijui kwa mawazo yao mabaya yaani kwa hali hii
I HATE EDUCATED PEOPLE note ya kwamba i am not mburula as you think about...

Kama unahate educated people lazima utakuwa unaihate education itself na shule iliyowafanya wawe educated. Ukishauriwa kuendelea na masomo utakuwa educated halafu utajihate na maybe utajiua. Convince me that it is safe to advise you on possibilities of further education.
 
Tuliza akili yako na ufikiri kwa makini ni nini unachokitaka, amua na jua kwamba unaweza, chochote kile ukitakacho just uamue, na hata ukija hapa jf uje kupata mapendekezo na sio kulia lia. kumbuka A MOB HAS MANY HEADS BUT NO BRAIN.
 
Humu jf kuna watu hamnazo kabisaa, mna wadogo zenu kweli?kwa hali ilivyo dogo kafaulu 27 inamruhusu kozi za certificate elimu,afya,mifugo,nk dogo kurisiti ni karata na hali ilivyo mbanano ni mkubwa angalia no yaziro ya mwaka uu changanya na form 4 fresh kutakuwaje? Jiongezeni wana jf sio kutapika mara nenda cdm,hboy sio hivyo
 
Back
Top Bottom