La kuchumpa
Member
- Mar 10, 2012
- 69
- 8
Naenda kumuona mke wangu baada ya miezi mitano kuwa mbali na yeye kitu ambacho sio kawaida yetu... sasa ni mwendo wa kutembea uchi tu ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmmh........
Kwa raha zako..
Vipi lakini unakumbuka uliiacha na saizi gani usije ukawa uliiacha ndogo ukakuta tayari wahuni wameshaongezea
Wewe ni mshamba, sioni cha ajabu baina ya mke na mume.
Vipi lakini unakumbuka uliiacha na saizi gani usije ukawa uliiacha ndogo ukakuta tayari wahuni wameshaongezea
Hujasomeka
I mean ni kawaida ya wapenzi wa kiwa mbali for long time, sasa soni cha zaidi katika hii thread. I hope mwenziwako kapania kama unilivyopania.
all the best loh!