Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni muongoKwavile ndo chagua lako sikulaumu, lakin premio its everrything, body durable, power, ukipimp inapimpika.
Masega yanakua yamezibaaZa sa hizi wananzengo,nina gari aina ya Allion new model lakini inakosa nguvu, inakimbia mwisho speed 80 baada ya hapo haibadilishi tena gia.
Niliipeleka kwa fundi akaniambia kuwa shida ni control box, nimebadilisha lakini tatizo liko pale pale.
Naombeni msaada wenu wa mawazo na fundi ambaye anaweza kunitatulia tatizo langu.
Kacheck valvematic ya engini yako inaweza kua inashida... tumia scanning machine kujua why inafanya hivo ingawa kwa engine nyingi za sasa za Toyota zinakuja na valvematic na sio vvti, so valvematic motor ikifa engine inashidwa kua timed vizuri valve zake pale gari inapotaka more power from engine...so check this....ila kama gari haikuji na engine ya valvematic system basi itakua something else which can be traced through scanning tool..Za sa hizi wananzengo,nina gari aina ya Allion new model lakini inakosa nguvu, inakimbia mwisho speed 80 baada ya hapo haibadilishi tena gia.
Niliipeleka kwa fundi akaniambia kuwa shida ni control box, nimebadilisha lakini tatizo liko pale pale.
Naombeni msaada wenu wa mawazo na fundi ambaye anaweza kunitatulia tatizo langu.
Nlifanya hivi siku gari imezingua nikatembea 220km kwa speed ya 40 na top speed 60Fungua exhaust toa masega, inakua mpya