Roger Ramer
Member
- Feb 4, 2017
- 34
- 15
Soma vizuri. Sitaki kumpa MTU alete hesabu yaani naendesha mwenyewe week endDah, hebu andika vizuri. Ww unamiliki alafu upeleke hesabu? Hebu changanua hapo
Gari ni langu naendesha wikend mpaka wikend. Je nfanye biashara gani?Kwa boss unapeleka shs ngapi kwa siku?
Mimi namiliki gari aina ya center yenye uwezo wa kubeba tani 2. Nimeajiriwa na kampuni za bandarini hivyo natakiwa kila Siku ofisini gari nmepaki tu nyumbani. Wikend napata muda wa kutumia gari langu kwa shughuli za uzalishaji . Sihitaji kumpa dereva katikati ya wiki aniletee hesabu ninaendesha mwenyewe wikend tu. Je, niifanyie biashara gani? Nipe dili au toa maoni yako.
Were VP ?kama hutaki jumpa MTU endesha mwenyewe?Soma vizuri. Sitaki kumpa MTU alete hesabu yaani naendesha mwenyewe week end
Igeuze iwe CHAI MARAGE.Mimi namiliki gari aina ya center yenye uwezo wa kubeba tani 2. Nimeajiriwa na kampuni za bandarini hivyo natakiwa kila Siku ofisini gari nmepaki tu nyumbani. Wikend napata muda wa kutumia gari langu kwa shughuli za uzalishaji . Sihitaji kumpa dereva katikati ya wiki aniletee hesabu ninaendesha mwenyewe wikend tu. Je, niifanyie biashara gani? Nipe dili au toa maoni yako.
Gari lina miaka minne sasaKabla kukushauri labda niulize, ulilinunulia nini?
mkuu kuna siku nilfanikiwa kuongea na tajiri mmoja ana malori kama 30 hivi, nilimuuliza kwa nini watu wenye magari ya ngama ya biashara wanapotea kwenye game?? akasema wanawaamini kwanza madereva kuliko kazi, akanishauri kama nina gari ya ngama nikomae mwenyewe ila ndo niwe nimezamia huko kimoja kwa muda wa mwaka mzima mpaka itakapokuwa imezaa nyingine, nkamchukulia poa nkatafuta kijana, hivi navyokwambia gari imepaki natafuta hela ya matengenezo.Sasa matajiri wote wenye malori wangeendesha wenyewe ingekuwaje?Acha ubinafsi,MPE mtu kazi.Itakuwa we we n mpigaji tuuu ndio mana unang'ang'ana bandarini hivyo unahisi na wewe utaibiwa kwenye kijicanter chako.Toa ajira acha umimi,hivi ukigongwa Leo uko kurasini ukakatika mikono utaendelea kuendesha?
Gari lina miaka minne sasa
Uko sahihi!!unajua ukiwa muajiriwa usimamizi kuyumba ni kawaida,hivyo its better ukachagua moja.Uyo jamaa akiamua kukomaa kwenye canter lazima atoboe,ila ameamua kula kotekote.mkuu kuna siku nilfanikiwa kuongea na tajiri mmoja ana malori kama 30 hivi, nilimuuliza kwa nini watu wenye magari ya ngama ya biashara wanapotea kwenye game?? akasema wanawaamini kwanza madereva kuliko kazi, akanishauri kama nina gari ya ngama nikomae mwenyewe ila ndo niwe nimezamia huko kimoja kwa muda wa mwaka mzima mpaka itakapokuwa imezaa nyingine, nkamchukulia poa nkatafuta kijana, hivi navyokwambia gari imepaki natafuta hela ya matengenezo.
somo la kujifunza. ukiona mtu amekuambia hataki ampe mtu ana sababu zake lukuki.