Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Gari lina miaka minne sasa
Lipeleke makumbusho. Ukalifanyie maonyesho. Ikifika weekend kalichukue uendeshe.Soma vizuri. Sitaki kumpa MTU alete hesabu yaani naendesha mwenyewe week end
Huwezi fanya biashar ya gari kwa kuliendesha gari weekend mpaka weekend! Swala ikatie bima kubwa hiyo canter alafu tafuta dereva mzoefu umkabidhi afanye biashara ya kubeba mizigo au maji... Kama ingekuwa tipper ndio ingekuwa poa ziaid. Ila hata hivyo hivyo, dili za kubeba matofali sio haba.Gari ni langu naendesha wikend mpaka wikend. Je nfanye biashara gani?
Mm n mfanyabiashara wa kuni mwenye vibal toka maliasili ila cna gar ..ka ungeweza tungeshirikiana inalipa sanaMimi namiliki gari aina ya center yenye uwezo wa kubeba tani 2. Nimeajiriwa na kampuni za bandarini hivyo natakiwa kila Siku ofisini gari nmepaki tu nyumbani. Wikend napata muda wa kutumia gari langu kwa shughuli za uzalishaji . Sihitaji kumpa dereva katikati ya wiki aniletee hesabu ninaendesha mwenyewe wikend tu. Je, niifanyie biashara gani? Nipe dili au toa maoni yako.
Kama kampuni ipi kwa mfano?Hiyo ni straight forward.
Kazi ya canter ni kusafirisha mizigo
Tafta company au kuwa distributor wa cmpany ambapo utakuwa unalipwa na hata kujilipa kwa kufnya part-tme kazi zako
Wanabebea nini?Maelezo yako ni mazuri njoo hapa kariakoo kuna Madreva uingie nao mkataba uwe unakula mpunga wako kwa week gari kukaa tu nyumbani majanga kwa uzoefu wngu unaweza kupata mpaka laki nne,kama uko tayari nicheki 0684239106
Bila shaka ameliokota uko bandarini, akununua.Kabla kukushauri labda niulize, ulilinunulia nini?
vulia samaki, itapendeza zaidi.Mimi namiliki gari aina ya center yenye uwezo wa kubeba tani 2. Nimeajiriwa na kampuni za bandarini hivyo natakiwa kila Siku ofisini gari nmepaki tu nyumbani. Wikend napata muda wa kutumia gari langu kwa shughuli za uzalishaji . Sihitaji kumpa dereva katikati ya wiki aniletee hesabu ninaendesha mwenyewe wikend tu. Je, niifanyie biashara gani? Nipe dili au toa maoni yako.