obrien daniels
Member
- May 4, 2022
- 44
- 54
Habarini,mimi ni mwanafunzi niliyehitimu mwaka huu kozi ya ya uhandisi wa magari(degree) na nina GPA ya 2.8,, ndoto zangu siyo kufanya kazi Toyota au Scania au kampuni kubwa za magari, ila nataka na nina passion ya kuwa Tutorial Assistant wa chuo.
Sasa naombeni ushauri,ninawezaje kurekebisha(formally) ili niwe na kuanzia 3.8 ungergraduate badala ya hiyo ya 2.8 inayosoma muda huu?
Ushauri tafadhalini!
Sasa naombeni ushauri,ninawezaje kurekebisha(formally) ili niwe na kuanzia 3.8 ungergraduate badala ya hiyo ya 2.8 inayosoma muda huu?
Ushauri tafadhalini!